KESI ZA UCHAGUZI MKUU NI ZA KUBAMBIKIZWA

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,048
2,000
Hakika niliposikia Rais Samia anavitamkia Vyombo vya Dola juu ya Wananchi Kubambikiziwa KESI nilitarajia Kuona KESI zote za Uchaguzi Mkuu zingefutwa kwani Kesi hizo Ziliandaliwa na Watawala Chini ya Amiri Jeshi Mkuu Magufuli ili Kuudhoofisha UPINZANI wakati wa UCHAGUZI MKUU Wapinzani Wamejaa Magerezeni kwa Kesi za Uongo na Kusingiziwa .Niliamini Rais Samia angeunda TUME kuchunguza Uhalali wa KESI Zote zinazowahusu Wapinzani ili Kutenda HAKI iliyopotezwa na MAGUFULI.
 

kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
4,828
2,000
Sabaya aliwabambika kesi watu walipomnyima pesa,leo nae yupo ndani.
Ukiwa kiongozi boresha magereza Ili kesho ukiingia jela uishi vizuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom