Hii ni orodha ya Wakuu wa Wilaya walioaminiwa na Hayati Magufuli na kupewa wadhifa huo lakini kwa kipindi chote cha Utumishi wao wameonekana kupwaya kwa sababu mbali mbali zikiwemo Ubabe...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI
15 JUNI 2021...
Mhe. Rais tunahitaji Katiba Mpya kwasababu wanaume wametumia misuli sana kupitia KATIBA iliyopo. Ikiwa siyo kipaumbele chako tunaomba:
2021-2025 wengi wawe KE ngazi za maamuzi.
2025-2030 andaa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud Othman, amewaahidi viongozi pamoja na wanachama wa chama kuwa ataendelea kuitumikia nchi pamoja na chama...
Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni ulitoa ahadi ya kumpatia kazi kijana wetu mpendwa Joshua Nassari.
Muda unakwenda kasi sana tangu kampeni zimalizike na wewe...
Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka Wadau wa Elimu Wasiwe Waoga kutoa maoni Juu ya Sheria na Kanuni zinazounda Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Ali Mohamed Shein leo Juni 19, 2021 ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui
Kikao...
Mbunge wa jimbo la Ilala bwana Zungu ametetea hoja yake ya kulipa kodi ya uzalendo kupitia vocha na laini za simu kwa kusema kodi hiyo lazima iwepo ili wanaokashifu viongozi na kushinda wakitukana...
Katika kitu ambacho mapebari hawana mchezo nacho ni maslahi yao. Ukitaka uone michezo yao haramu ingilia maslahi yao.
Angalia nchi kama Venezuela, South Sudan, Libya na nyinginezo.Kosa la...
Nina wazo.
Wazo linaloendana na uwezo wa kiakili wa mbeba maboksi.
Ni hivi: tuanze moja. Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti yoyote yale.
Au tufanye hivi...
Mwenyekiti wa chama cha chadema mheshimiwa Freemani Mbowe ametangaza kutogombea tena uenyekiti pindi tu awamu hii itakapokwisha(2023).
OMBI:Mbowe agombee tena 2023 na baada ya hapo awamu...
Nashauri kwa wale Watanzania watakaotaka kufanyiwa chanjo serikali iweke utaratibu na isisubiri mpaka wapate hizo chanjo.
Mfano wazee wa wahudumu wa afya wako hatarini zaidi basi waambiwe mapema...
SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI.
****************************
Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia)...
Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini.
Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja
Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa...
CCM YAMUAGA PROF BAREGU
Familia wamshukuru Rais SAMIA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshiriki ibada ya kuaga mwili wa Profesa Mwesiga Laurent Baregu iliyofanyika usharika wa KKKT Kunduchi Beach...
Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji...
Nimeshangaa kuona huu ujanja ujanja wa kile kinaitwa Gawio bado upo! Nimeona Makam wa rais akipokea gawio toka NMB bank kiasi cha billion 21.8!?. Serious? Mabenki Hali mbaya halafu bado...
Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa...
What next for Tanzania after tanzanite crash?
FRIDAY JUNE 18 2021
ADVERTISEMENT
By Gadiosa Lamtey
More by this Author
Dar es Salaam. Tanzania is focusing on value addition of tanzanite in an...