bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,958
Katika kitu ambacho mapebari hawana mchezo nacho ni maslahi yao. Ukitaka uone michezo yao haramu ingilia maslahi yao.
Angalia nchi kama Venezuela, South Sudan, Libya na nyinginezo.Kosa la viongozi wa nchi hizo walichofanya ni kusimamia haki.
Kiongozi akijifanya "anajua" kuliko wao,wanapambana nae kwa njia za ajabu.Unashangaa maisha ya wananchi yanakua magumu mno, export haziuziki, thamani ya hela inaporomoka, wananchi maksudi kwa kutojua wanafikiri kosa ni la rais wao kwa hiyo anaonekana hafai kabisa.
Anatengenezwa ''kiongozi" mwingine ambaye yeye anakua anasimamia maslahi ya mapebari mambo yanaendelea kama kawaida.
Mimi sitoshangaa kama Rais Magufuli atatawala awamu moja tu,yote itakua ni kulipa gharama ya kazi kubwa anayoifanya kwa wananchi, kwa bahati mwenyewe analifahamu hili.
Rais komaa hapo hapo wananchi tuko nyuma yako.
UPDATES:
1.Unajua hizi mishemishe za TL huko nje zinaweza kua ni preamble to the real issue,Wakubwa kutopenda mwenendo wa JPM kuanza kumuandalia wapinzani waunde zengwe wamtoe,yaani Maduro style?
2.Mambo ya freedom of speech/press, ndio njia waliyoona itafaa kumpaka matope na hatimaye kumwangusha JPM,Wazee wa NATO wanafuatilia kwa ukaribu sana,ili waitane Security Council kuamua maslahi yao ya kuendelea kunyonya hii nchi bila wenye nchi kufaidika.
3.Wakoloni hawawezi kuleta maendeleo,na nchi ziachane na tabia ya kuomba omba hela kila wanakoenda."Donor Syndrome" ni mbaya sana kwa Waafrika na ndio hiyo inachochea umasikini uliokithiri.Kwa mawazo kama haya itakua anaundiwa zengwe la hatari sana huyu na ndio maana nje hatoki.