Hivi hili suala la gawio bado lipo?

Sitajitendea haki bila kukujibu. NMB wamepata faida nzuri sana kwa mwaka wa 2020/21 ambayo ni 205.5 billion TZs baada ya kodi. Ni faida ya kihistoria kwenye benki za Tanzania.

In short, biashara inaweza kustawi hata kwenye hali mbaya. Mfano wale jamaa wa sanitizer na mask waliuza sana kipindi covid ipo hot
 
Halafu kwa huo mwaka wa mapato sijaweka hata senti tano hapo NMB, ningeweka mapato yangekuwa juu zaidi ya hapo
 
Kama ni drama kwa kweli watakuwa hawatutendei haki. Kwasabb hakuna haja wala sabb ya kutudanganya. Lkn kama ni kweli kongole kwa NMB.
 
Kwa Nmb kutoa gawio kama hilo binafsi sitashangaa kwani kipindi kifupi kilichopita taasisi binafsi zilionekana ni maadui wa taifa hivyo huduma nyingi zilifanywa na taasisi za serikali Bila kujali ubora wa huduma zitolewazo kama matarajio ya uharaka naubora wa huduma kwa mteja. Hivyo walipata upendeleo kutoka kwa mamlaka.
 
Watu kasuku ndio wanaamini wimbo wa hali mbaya. Halafu mjinga huelewi gawio ni kitu gani. Kama serikali ina hisa kwenye kampuni au shirika kama kuna faida lazima serikali ipate gawio.

Hakuna gawio kama hakuna faida. Hapo nyuma sehemu nyingi kuna hisa za serikali wajanja wanagawana bila serikali kupata kitu. Kuna sehemu serikali ndio muwekezaji pekee wakurugenzi na mameneja wanakula faida wanajidai hakuna faida lakini hawafungi shirika au kampuni kwa hasara.

Magufuli ndio karekebisha kama ulikua hujui.
 
Nimeshangaa kuona huu ujanja ujanja wa kile kinaitwa Gawio bado upo! Nimeona Makam wa rais akipokea gawio toka NMB bank kiasi cha billion 21.8!?...serious? Mabenki Hali mbaya halafu bado tunaambiwa gawio la billion 21?

Source:Itv taarifa
Kama hujui kitu Bora ukae kimya
 
Nimeshangaa kuona huu ujanja ujanja wa kile kinaitwa Gawio bado upo! Nimeona Makam wa rais akipokea gawio toka NMB bank kiasi cha billion 21.8!?...serious? Mabenki Hali mbaya halafu bado tunaambiwa gawio la billion 21?

Source:Itv taarifa
Naomba kuuliza hili huwa sii jambo la kisheria.Ama Mimi na changanya madesa.
 
Back
Top Bottom