Watuhumiwa waliokuwa wanatuhumiwa kukutwa na ndege TAUSI waachiwa huru, je kufuga Tausi ni halalli?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji?

Mfano mdogo, watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na nyara za serikali( ndege aina ya Tausi) na wanawekwa mahabusu kwa miaka kadhaa uchunguzi ukiendelea, wanachunguza Kama hao kweli ni Tausi au waliwabambikia tu kesi? Je huyo Tausi kama exbit amepotea, ameuzwa, amefariki Hadi tushindwe kumfikisha mahakamani kama kosa lipo wazi?

Endapo mtu alisingiziwa kukutwa na Tausi ambao wanaishi Ikulu, je aliyefanya huu unyama wakuchukua tausi nakupeleka nyumbani kwa mtuhumiwa ni Nani? Kwa Sasa tausi huyo yupo wapi maana mahakama imesema waliokuwa wanMmiliki hawana hatia? Je, Kama kweli walikuwa wanammiliki na Awana hatia, je kufuga Tausi Ni halali?
 
Kipindi hiki ni kwaajili ya kuwafurahisha wananchi. Haijalishi uwe na kosa au usiwe na kosa utaachiwa tu ili Mradi mwanachi afurahi.

Yaani kipindi hiki kosa litakalokufanya ukae mahabusu ni mauaji tu. Ila uhujumu uchumi, ubadhilifu wa mali za umma ni free Mandela
 
Makosa mengi yalikua yakubambika Ili mradi tu wakuchojoe pesa
 
Back
Top Bottom