Dkt. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum - Zanzibar

Baraka Mina

JF-Expert Member
Sep 3, 2020
581
574
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Ali Mohamed Shein leo Juni 19, 2021 ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui

Kikao hicho kilihudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Hussein Ali H. Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Hemed Suleiman Abdulla, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Ndg. Abdullla Juma Saadala (Mabodi), viongozi na wajumbe mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi.

#KaziIendele
#ChamaImaraSerikaliImara

IMG_20210619_122519_526.jpg
IMG_20210619_122519_493.jpg
IMG_20210619_122519_521.jpg
IMG_20210619_122519_507.jpg
 
Anajua bila chenga kuwa alikuwa madarakani bila ridhaa ya wananchi! Roho inamsuta sana na hata anaposwali msikitini ni kwa sababu hana namna ya kutubu hadharani!
Uchaguzi wa Zanzibar 2015 ulifutwa kutokana na kasoro mbalimbali na ukatangazwa uchaguzi wa marudio ambao Dkt. Shein alishinda.
Hata uchaguzi wa awali Dkt. Shein alikuwa anaongoza.
 
Uchaguzi wa Zanzibar 2015 ulifutwa kutokana na kasoro mbalimbali na ukatangazwa uchaguzi wa marudio ambao Dkt. Shein alishinda.
Hata uchaguzi wa awali Dkt. Shein alikuwa anaongoza.
Hadithi hiyo kawasimulie mataga wenzako!
 
Kidumu chama Cha mapinduzi,

Nikiona wazee kama hawa nafarijika sana,

Maana kwa yanayoendelea sasa Mungu tu aingilie kati.

Yaani wezi wanaachiwa lupango tunawaona.

Mungu tukumbuke waja wako.
 
Back
Top Bottom