Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini.
Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja
Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa...
CCM YAMUAGA PROF BAREGU
Familia wamshukuru Rais SAMIA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshiriki ibada ya kuaga mwili wa Profesa Mwesiga Laurent Baregu iliyofanyika usharika wa KKKT Kunduchi Beach...
Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji...
Nimeshangaa kuona huu ujanja ujanja wa kile kinaitwa Gawio bado upo! Nimeona Makam wa rais akipokea gawio toka NMB bank kiasi cha billion 21.8!?. Serious? Mabenki Hali mbaya halafu bado...
Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa...
What next for Tanzania after tanzanite crash?
FRIDAY JUNE 18 2021
ADVERTISEMENT
By Gadiosa Lamtey
More by this Author
Dar es Salaam. Tanzania is focusing on value addition of tanzanite in an...
Hii tozo ya laini za simu ni mzigo kwa Wananchi.
Kwa Kuwa wabunge kila mwezi wanalipwa karibu milioni 12 , kuoyesha uzalendo , huo mzigo waubebe wao kwa maana kiuhalisia wananchi wengi kwa mwezi...
Zilitumia billion 200 kukusanya maoni ya wananchi na Jaji Warioba.
Maoni yakawekwa kapuni
Kuna watu wanasema katiba sio kipaumbele yaani Leo ndio mnaona katiba sio kipaumbele wapuzii nyie...
Asalam-alaekoum Wana-JF
Nianze kwa kurudia 'mantra' yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa na watawala wetu katika MFUMO tulionao:
THE HALLMARKS OF BAD GOVERNANCE:
1. Ambiguity
2. Arbitrariness
3...
Katika pitapita zangu mitandaoni nikoana post ya aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini "SUGU" akisema ni lazima awe mbunge 2025.
Hii imenishangaza kwa kuwa hadi sasa msimamo wa mwenyekiti pamoja na...
Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka.
Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na...
Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania...
Wadau wa JF,
Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Daniel Chongollo atakuwa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya WenyeViti wa Mikoa wa UVCCM.
Mafunzo hayo yatanyika Jumamosi Juni 19, 2021 kwenye Chuo cha...
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge...
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH...
Wakati mwingine ni vizuri mkuu wa nchi akawa mwenye busara siyo kila kitu akisikiacho anatakiwa kujibu
Amekosea sana rais wetu kumjibu mtu kama Lowassa
Labda tujiulize wale mashehe kutoka zanzibar...
Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa.
Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya...
Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja.
CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na...
Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.
Rais...
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.
Pia, wanafurahi sana pale wanapoona...