Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Sheikh Farid na Sheikh Msellem wameachiwa.

Picha mbali mbali zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonesha Farid akiwa na familia yake.

Inasemekana wameachiwa jana usiku.

2809578_Screenshot_20210616-081831_WhatsApp.jpg
 
Baada ya miaka karibu ya Kumi ya dhulma unyanyasaji usio wa haki uliokuwa unafanywa na wakoloni wanaotutawala dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Leo kwa mara ya kwanza baada miaka Kumi wameweza kuungana na familia zao na kunusa harufu ya Hewa Safi

Jee wakoloni watawapa fidia ya DHULMA waliowafanyis?
Tusubiri
 
Hawa wakoloni weusi ni wabaya kuliko hata weupe
 
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa Sheikh Farid na Sheikh Msellem wameachiwa.

Picha mbali mbali zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonesha Farid akiwa na familia yake.

Inasemekana wameachiwa jana usiku.

View attachment 1820098

Mwenye maelekezo ya kidhalimu kutokea juu yuko busy na malaika.

Hapa sasa mdogo mdogo mwendo wa haki bin haki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom