Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,441
Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana, Bali haitawezekana milele, kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe, au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao.

Chadema haifi na wala haitakufa.

Hii hapa ni video ikionyesha vikao vya ndani vya Chadema, huku wanachama wakimimina zawadi kwa Mwamba Mbowe huku usafiri wake ukishindwa kuzibeba, imebidi ajipapase mfukoni ili akodi Scania yenye kontena la Futi 40 kuweza kubeba mizigo aliyopewa Mbeya wakiwemo mbuzi kadhaa.


BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Tayari_kwa_kesho_mahakamani_kusikiliza_hukumu_ya_kesi_ya_MD...jpg
 
Chadema haifi na wala haitakufa
Shida mnajifanya hamjui dalili ya kitu kilichokufa. Kwa kuwakumbusha tu ni kwamba:

1. Kwa viumbe hai hususani binadamu ni mapigo ya moyo kuwa 0, kupumua kuwa 0 na fahamu za ubongo kuwa 0.

2. Kwa vyama hususani chadema ni idadi ya wabunge kuwa 0, idadi ya madiwani kuwa 0 na idadi ya wenyeviti wa mitaa au vijiji kuwa 0.

Kiumbe kikifa kukifufua ni jambo lisilowezekana ila wapo watu wanaofanya usanii wa kufufua watu hususani baadhi ya wachungaji wa makanisa ya walokole. Vivyo hivyo kwa vyama kama chadema watu wanaweza fanya usanii wa aina hiyo wa kufufua.
 
Back
Top Bottom