Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.
Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati...
Mnamo mwaka 2015 kutokana na nchi ilipokuwa imefikia wengi tulitaka nchi iende UKAWA ( Umoja wa Kitaifa Wa Wapinzani). Kilichotokea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Ni wengi hatukutarajia. Jaji...
Mimi baada ya kuchekecha nimeona hii kauli iliyo tolewa na bwana yule kule Bukoba baada ya watu kupata maafa ya tetemeko wakiomba msaada yeye akiwajibu kijeuri akisema hivi
"Kwani Mimi ndio...
Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu...
Ni swala la demokrasia tu.
Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti.
CCM ingebadili...
Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa ametikisa mji wa Musoma Mjini Leo kwa kufanya mkutano mkubwa wa historia katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo!
Tazama picha mbalimbali...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM inatarajia kukutana kesho Jumanne Juni 22, 2021 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa...
Matunda ya maono mazuri ya gwiji wa siasa za upinzani nchini (Mwamba) Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kuwekeza kwa Rasirimali watu haswa wasomi vijana leo imekuwa na...
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote...
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa kampuni za Wilmar International ya Singapore, Kuok Khoon Hong. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu
Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..
Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..
Mwenye nayo please naomba...
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama.
Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka...
Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...
NIMKUMBUSHE MCHUNGAJI MWINGIRA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji Mwingira (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mwanza anatafakari kuhusu Ramani ya Kimkakati (Strategy Map) iliyo muhtasari wa ukurasa mmoja wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 (uk. 70)...
Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania akiwasili Bungeni Kusoma Bajeti ya Serikali 2021/22
I. USULI: KWA NINI NAANDIKA BANDIKO HILI?
Bandiko langu lisemalo “Rais...
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa...
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!
Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Nadhani katiba ya Mgeleza Malikia Eliza kwa miaka takribani sabini sasa inatosha, ipo haja ya kuwa na katiba ya watanzania na si ya Mgeleza wala wanasiasa.
Pia swala la muungano litazamwe upya kwa...