Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kuwa binadamu huwa anapenda kuandika hidtoria yake iliyotukuka hasa kwa wasomi najiuliza hawa wasomi wakati wakuandika ukweli MTUPU kuhusu maisha yao ya hapa ulimwenguni kitaaluma na kijamii...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Huko tuendako ni kubaya... Walioweka mfumo wa utawala wa sheria na mgawanyo wa madaraka na majukumu walifanya hivyo kutokana na uzoefu na shida zilizopata kutokea Nasikitika kusema kuwa...
30 Reactions
144 Replies
18K Views
Kuna hizi mada zinatrend sana kuhusu kuongeza kikomo cha urais, yani raid wa sasa aongezewe vipindi vya uongozi hadi vine yaani miaka 20.... Mwenyewe amekuwa akipinga kila wakati lakini niseme tu...
36 Reactions
82 Replies
53K Views
Wananchi wamjia juu mbunge anayesema posho, mishahara yao haitoishi Dar es Salaam. Siku mbili baada ya mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga kusema mshahara na posho za mbunge hazitoshi, watu...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
#Siku 100 za Samia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo Deogratias Mutungi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatimiza siku mia moja hapo Juni, 26 tangu kuapishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI? ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204.. Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812 Matokeo Ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu...
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Chama cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira ya mazuri ya kuaminika...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Wahenga walisema "Hakuna marefu...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma. Sasa wazo langu ni...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe. Jerry Silaa ameiomba Serikali kutofuta adhabu kwa Makampuni Makubwa kwa utoroshaji wa fedha nchini kwa kutumia kigezo cha "TRANSFER PRICING" kwani makampuni hayo...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila wakati inaonekana kama hatumtaki Rais wetu lakini hali inayoonyeshwa na mwajiliwa wetu kwa kweli ni mbaya sana. Waliopanga press conference sijui walitegemea nini! Mtu anaulizwa kwa nini...
10 Reactions
96 Replies
11K Views
Mwijage, Kakunda wakiri kushindwa kufufua viwanda WEDNESDAY JUNE 23 2021 Summary Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri bungeni mjini Dodoma kuwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa...
2 Reactions
3 Replies
921 Views
Katikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea. Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
This news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me. The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his...
30 Reactions
100 Replies
8K Views
Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10. Sahivi utadhani chama...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta...
30 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom