Chama kimepoa sana

Chama kimepoa sana

Jasusi Mbobezi

Senior Member
Joined
May 17, 2020
Posts
194
Reaction score
851
Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10.

Sahivi utadhani chama hakina watu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]. Kadi yangu siilipii tena.
 
Lawama za teuzi hzi za hovyo zimwendee katibu Mwenezi, huyo dogo Shaka kapeleka majina ya hovyo sana yenye ushikaji mwingi , kayumbishwa na kundi la vijana wahuni na maarufu ,
 
Lawama za teuzi hzi za hovyo zimwendee katibu Mwenezi, huyo dogo Shaka kapeleka majina ya hovyo sana yenye ushikaji mwingi , kayumbishwa na kundi la vijana wahuni
Hata yeye mwenyewe ni muhuni
 
Lawama za teuzi hzi za hovyo zimwendee katibu Mwenezi, huyo dogo Shaka kapeleka majina ya hovyo sana yenye ushikaji mwingi , kayumbishwa na kundi la vijana wahuni na maarufu ,
Rais ameshauriwa vibaya,

Makundi yalikuwepo Sasa ndio ameyaimarisha zaidi.

Uchaguzi ndani ya chama ni mwakani 2022.

Ngoja tuone itavyokuwa.
 
Back
Top Bottom