Kuna cha kujifunza hapa kwa vyama vya upinzani

navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,517
480
MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?

ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..

Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812

Matokeo Ya jumla ngarenanyuki. Ccm 1615 chadema 764 cuf 11

Kahama CCM Imeshinda kwa kura 539ccm na342 chadema

Wilaya ya Kahama Kata ya Isagehe.
1: CCM 1565
2: CDM 406
3: ACT WAZALENDO 446
4: CHAUMWA 2
5: CUF 6
6: NCCR MAGEUZI 28

K/ndege Morogoro CCM 1384 cdm 1189 cuf 218

Mkoa wa Mwanza kata zote 2 CCM Imeshinda kwa kishindo! Malya (Kwimba), na Kahumulo (Sengerema)

Kata ya kimwani muleba kati ya vituo 26. Ccm imeongoza vituo 20 na imeshinda

Misugusu kibaha mjini

CCM kura 1307
CDM kura 924

Kata ya Kinampundu, Wilaya ya Mkalama.
CCM 1019
CDM 532
CUF 30

UGONILEEE....... TUNUNU..... TWAMBOMBO... NDAGA FIJOOO

Ujumbe
ENDELEENI NA SERA ZA NJAA,SUKARI, MATETEMEKO, UKUTA UTAFIKIRI WANANCHI WANATAKA HAYO, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO

SALAMBA II
 
Usiku kwa vyama vya siasa kwisha mpaka wanafiki wafe.
Nini huwa kinazuia kuungana?
Wenzao Kenya wanaungana wao wananyemelea luzuku,aibu sana.
Kingine ni usaliti,chama maana yake ni watu,sasa hawa watu wasiposikika kwa kutegemea sauti za hao viongozi tusitarajie miujiza.

Uishinde ccm yenye...
1.tume
2.polisi
3.pesa
4.na serikali.kwa kutengana hivi,hadi yesu atarudi.

Sera nazo nyingi ni za kuona nani kakosa nini,sio mikakati ya kutoka tulipo hadi kwingine.
Lazima wataendelea kuishuhudia ccm ikishinda tu.
 
Waungane kwa sheria ipi? au wanaungana kienyeji kienyeji tu. ANY MAGU weka Mziki. KAMATIA TUME. KAMATA POLISI. KAMATI PESA. KAMATIA SERIKALI.
 
Kwa kujitolea vyama dhaifu vife kibaki kilicho imara miongoni mwaowapeleke sera zitakazowashawishi wapiga kura.Kuna vyama havina hata diwani mmoja vinasubiri iwasaidie nini.Vingine vina Mbunge mmoja,vingine ni vya eneo moja tu la nchi( matakwa ya kisheria na uhalisia ninakinzana).Kama ushindi wa chama x ni Mkoa y tu unaelezaje?
Wathibitishe kuwa wanaipenda nchi kuliko vyeo vyao na fedha.Wakishindwa kuthibitisha haya maana yake hatustahili kuwaamini kwa chochote.
 
MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?

ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..

Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812

Matokeo Ya jumla ngarenanyuki. Ccm 1615 chadema 764 cuf 11

Kahama CCM Imeshinda kwa kura 539ccm na342 chadema

Wilaya ya Kahama Kata ya Isagehe.
1: CCM 1565
2: CDM 406
3: ACT WAZALENDO 446
4: CHAUMWA 2
5: CUF 6
6: NCCR MAGEUZI 28

K/ndege Morogoro CCM 1384 cdm 1189 cuf 218

Mkoa wa Mwanza kata zote 2 CCM Imeshinda kwa kishindo! Malya (Kwimba), na Kahumulo (Sengerema)

Kata ya kimwani muleba kati ya vituo 26. Ccm imeongoza vituo 20 na imeshinda

Misugusu kibaha mjini

CCM kura 1307
CDM kura 924

Kata ya Kinampundu, Wilaya ya Mkalama.
CCM 1019
CDM 532
CUF 30

UGONILEEE....... TUNUNU..... TWAMBOMBO... NDAGA FIJOOO

Ujumbe
ENDELEENI NA SERA ZA NJAA,SUKARI, MATETEMEKO, UKUTA UTAFIKIRI WANANCHI WANATAKA HAYO, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO

SALAMBA II
Bila kuwa na sera maalumu zinazotambulisha upinzani,ni sawa na kugombea demu na mwenzako ukisubili afilisike ili umseme kwa demu umpate
 
MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?

ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..

Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812

Matokeo Ya jumla ngarenanyuki. Ccm 1615 chadema 764 cuf 11

Kahama CCM Imeshinda kwa kura 539ccm na342 chadema

Wilaya ya Kahama Kata ya Isagehe.
1: CCM 1565
2: CDM 406
3: ACT WAZALENDO 446
4: CHAUMWA 2
5: CUF 6
6: NCCR MAGEUZI 28

K/ndege Morogoro CCM 1384 cdm 1189 cuf 218

Mkoa wa Mwanza kata zote 2 CCM Imeshinda kwa kishindo! Malya (Kwimba), na Kahumulo (Sengerema)

Kata ya kimwani muleba kati ya vituo 26. Ccm imeongoza vituo 20 na imeshinda

Misugusu kibaha mjini

CCM kura 1307
CDM kura 924

Kata ya Kinampundu, Wilaya ya Mkalama.
CCM 1019
CDM 532
CUF 30

UGONILEEE....... TUNUNU..... TWAMBOMBO... NDAGA FIJOOO

Ujumbe
ENDELEENI NA SERA ZA NJAA,SUKARI, MATETEMEKO, UKUTA UTAFIKIRI WANANCHI WANATAKA HAYO, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO

SALAMBA II
Hongera
 
Back
Top Bottom