Nimeota ndoto mbaya sana kuhusu Arusha

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Katikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea.

Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha umekatika. Mti uliosifiwa kuwa ni wa ajabu...ukawa sehemu ya matambiko ya WanaArusha na WanaKasikazini.

Mti uliotumika kutabilia wengine maovu...nao unaenda unaenda kuanguka.
 
Haya wahi NMB mshahara ushatoka
 
Kama huo mti haujaangukia watu, acha uanguke tu ili waende kanisani na misikitini
 
Katikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea.

Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha umekatika. Mti uliosifiwa kuwa ni wa ajabu...ukawa sehemu ya matambiko ya WanaArusha na WanaKasikazini.

Mti uliotumika kutabilia wengine maovu...nao unaenda unaenda kuanguka.
Mjinga wewe ataanguka babako sio Lema. Stupid.
 
Back
Top Bottom