Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,815
- 4,565
Chanzo: Nipashe
Mkuu ulitaka aende chato?Hiyo ziara ya kizazi ina manufaa gani kwa Taifa?
Hiyo ziara ya kizazi ina manufaa gani kwa Taifa
Soma hii Generation Equality Forum: Paris | Generation Equality ForumHiyo ziara ya kizazi ina manufaa gani kwa Taifa?
Wamebaki kutumia za maktaba tu.Ndiyo kazi zake hizo, halafu hiyo picha ndiyo alikuwa Mpango haswa huyu wa sasa baada ya kunusurika uviko hayuko sawa
RooojaKwahiyo ripoti ikimtia hatiani atatumbuliwa hukohuko?
MAKAMU wa Rais wa JMT, Dk. Philip Mpango, amewasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa (Generation Equality Forum) linalofanyika jijini Paris kuanzia leo Jumatano Juni 30 na kumalizika Julai 2, 2021.
Chanzo: Nipashe
Awaambiwe wazungu kuwa Katokea familia masikini
Kutanisha picha za before and after . Tazama masikio especially.Ndiyo kazi zake hizo, halafu hiyo picha ndiyo alikuwa Mpango haswa huyu wa sasa baada ya kunusurika uviko hayuko sawa
Kumbe wenzetu wamechanjwa tayari!MAKAMU wa Rais wa JMT, Dk. Philip Mpango, amewasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa (Generation Equality Forum) linalofanyika jijini Paris kuanzia leo Jumatano Juni 30 na kumalizika Julai 2, 2021.
Chanzo: Nipashe
VP? Hii inamfaa Jenista Mhagama.Generation Equality Forum: Paris
30 Jun 2021
The Generation Equality Forum (June 30 – July 2) is a major global inflection point for gender equality. This landmark effort is bringing together governments, corporations and change makers from around the world to define and announce ambitious investments and policies.
The result will be a permanent acceleration in equality, leadership and opportunity for women and girls worldwide. Convened by UN Women and co-hosted by the governments of Mexico and France, in partnership with youth and civil society, the Forum will also fuel a powerful and lasting coalition for gender equality.
It presents a vital moment for activists, feminists, youth and allies to achieve transformative change for generations to come. It will mark the beginning of a five-year action journey led by six Action Coalitions and a Compact on Women, Peace and Security, and Humanitarian Action.
This is a critical moment. COVID-19 has exacerbated existing gender inequities, with reports of rising violence against women, as well as higher adverse economic impacts caused both by increased unpaid care-giving and the fact that women work in more insecure, low-paid and informal jobs. Women of color, indigenous women and youth face compounded risks and barriers.
We are living through a gender equality crisis, and the Generation Equality Forum offers a critical opportunity to confront it and accelerate implementation of the landmark Beijing Declaration and Platform for Action.
Source : United Nations
Read more : Media advisory: Generation Equality Forum, Paris
The Generation Equality Forum: a historic global feminist event (30 June - 2 July 2021)
The Generation Equality Forum was the most important feminist event ever,coming more than 25 years after the last UN World Conference on Women (…)www.diplomatie.gouv.fr