Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema bado upo umuhimu wa Tanzania kuwa na Katiba mpya kwa sababu ni maoni ya wananachi. Warioba alitoa...
7 Reactions
97 Replies
14K Views
Ukweli siku alipokufa nilifurahi, sikufurahia kifo chake, bali nilifurahi kwa sababu ameondoka kwenye kiti cha taifa. Nilifurahi kapisha kiti hicho kwa sababu Mimi nilimuona hakufaa kukalia kiti...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Chama kinachojibainisha kama kikuu cha upinzani kimekuwa kinalizungumzia suala la katiba kama vile bado halijashughulikiwa. CHADEMA wamekuwa wanataka wapate aina fulani ya Katiba ambayo...
1 Reactions
13 Replies
928 Views
Ukisikiliza tena kwa makini ni kama naye hapendi kukosolewa. Anasema kabisa sio na kigazeti chako mara uandike samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli. Hii kauli inalenga...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Najua kwa sasa tunajitahidi sana kuvumilia vumilia na kujipendekeza ili tupate cheo au ulaji flani. Sasa hali hii ni kama tunakuwa kwenye tension fulani. Na kila mtu anajaribu kuja na maneno...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya...
38 Reactions
110 Replies
10K Views
Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa. Kuna uwezekano...
26 Reactions
95 Replies
10K Views
Kwa heshima Waziri wangu nakusalimia. Pamoja na hayo nina kuomba upitie wafuatao na experiency zao kikazi na história ya uchumi mbali mbali walio shauri na kupitia ili kukuza na kundeleza uchumi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Niwasalimu kwa jina la JMT. Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake. Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Ni kilomita 3 tu kutoka Ziwa Victoria mpaka Bugarika jirani na Bugando Hospital. maji bado ni changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani poleni kwa ndugu zangu wa Mahina kilomita 7 mnaochota...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
"Kwa kauli hizi ameondoa kina Sabaya wachache wa Magufuli anaweka kina Sabaya wake, soon utekaji, mauji na utesaji wa watu utaanza.hivi nchi ambayo wewe ukiwa makamu wa rais mlisema mmeinua uchumi...
24 Reactions
50 Replies
4K Views
Sijashawishika na haya majibu ya Rais Samia! Kwamba apewe muda ili aisimamishe nchi kwanza kiuchumi halafu ndo aruhusu mikutano ya kisiasa. Achieni watu wapige siasa bana. Na nyie mpige kazi...
24 Reactions
61 Replies
5K Views
' Hoja mojawapo ya CCM ni kwamba eti ili kubadili Katiba lazima Bunge ihusike na kama tunavyojua Bunge hili ni kijani na la Mwendazake - sasa tusubiri hadi after 2025 - aweke mambo sawa Yaani ni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona. Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni injinia ambaye anaaminika sana na Rais wa hapa nchini Bolivia, ndugu Jimenez Pablo Martinez. Wamekuwa wote enzi zile wakiwa Wizara moja kwenye ujenzi wa mabarabara. Sasa anatajwa kama mtu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipenda mno Kuwafuatilia Viongozi mbalimbali hasa wakiwa wanazungumza na hadhira mbele ya Mheshimiwa Rais Magufuli ambapo wengi wao huwa wanakuwa hawajiamini, waoga waoga na hata wapo...
17 Reactions
179 Replies
19K Views
Kwanza niwasalimu Kwa salamu yetu ambayo Sasa inatukaa vema. Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... bila shaka mtajibu kazi iendelee. Wiki chache hapa nyuma nilimsikia waziri...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wanashiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers...
8 Reactions
379 Replies
48K Views
Back
Top Bottom