Uchaguzi 2020 Wazee wameusoma mchezo na wamechagua kuwa upande wa haki?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Dalili zote zinaonyesha CCM itaanguka uchaguzi huu au ikishinda kiongozi mkuu atapata msukosuko mkubwa kutawala na mwisho wake ataanguka.

Uwenda kukawepo na mabadiliko makubwa hata kama dicteta atashinda uchaguzi huu kwa mabavu na anaweza asifike 2025.

Tatizo kubwa ni kukiuka katiba kutaka kubadilisha katiba na kuonea watanzania.

Wanaona kabisa taratibu mgombea wao anavyozama na wao wanaona aibu kwenda kumnadi mtu asiyeuzika.

Wameshanusa nchi kwenda kwenye mikono sahihi ya utawala wa haki kupitia upinzani au kupitia makamo wa rais ambao hata wao watakuwa ni moja ya wanufaika wa mfumo huo.

Nawapongeza Sana wazee kwa kukataa kutumika uchaguzi mwaka huu.

Nawasihi pia Police TISS someni halama za nyakati Lissu sio Lowassa, Slaa, Mbowe,Lipumba au Mrema.

Mkimnyima Uongozi kwa mabavu shinikizo lake linaweza kuleta mabadiliko makubwa kupitia mtu wenu

Tuendelee kuwepo.
 
Dalili zote zinaonyesha CCM itaanguka uchaguzi huu na moja ya kiashiria kikuu ni wazee kukaa kimya kipindi Kama hiki.

Wameona ni Bora kutunza heshima zao ili hata Lissu akishinda Urais aweze kuendelea kuwapa stahiki zao....
Moto wa Lissu huzimwi kwa makopo ya petrol...
......Wazee wa sisiem acha wakae watulie zao tu wale maisha, wasijisumbue kumtetea mtu asie na utu kwao...
 
Swali jingine
Hivi mtu anaeahidi kuleta katiba mpya ya Warioba na mwingine anaesema katiba sio kipaumbele chake.

Warioba na Butiku watachagua Nani?
Je Ni Bora kwao CCM ibaki madarakani lakini katiba isije
Au
Ni Bora katiba ije na CCM itoke?

Ahadi ya katiba itampa Lissu kura nyingi sana kuanzia wakuu wa Vyombo vya dola Hadi watumishi wa Mungu
 
Sisi wazee tunaojitambua, tunaotambua hii nchi imetoka wapi na inaelekea wapi??

Hatuwezi mchagua huyo kijana wenu Tundu Lissu ili tuwatese wajukuu zetu.
 
Yani kura za warioba na Butiku ndio tayari kura nyingi hizo?
 
Sisi wazee tunaojitambua, tunaotambua hii nchi imetoka wapi na inaelekea wapi??

Hatuwezi mchagua huyo kijana wenu Tundu Lissu ili tuwatese wajukuu zetu.
Ungekua mzee kweli ungejua hii nchi inaelekea wapi na inatoka wapi enzi za mwalimu tulijenga ofisi ili tuonyane ndani Leo heshima haipo kabisa MTU mzima anatukanwa hadharani ana make watoto na wakwe geuza uwe we we ungejisikiaje tuliangalia TV ya taifa Leo tunaangalia TV ya ccm watu waoga kwa kila kitu
 
Ingekua keyboard warriors ndo wapiga kura pekee huyo kibaraka wenu wa mabeberu angetangazwa asubuhi tu lakini Bahati mbaya hatà robo ya wapiga kura hamfiki.
Wewe ni Lafa tu ,hivi mtu kwa akili ya kawaida unawezaje kuishadadia ccm lazima uwe mchawi ila kwa akili ya kawaida not possible
 
Hivi mtu na kijana mwenye akili nzuri unawezaje ku support Magufuli na ccm yake?Lazima akili yako iwe fyatu kdg aisee akili yakawaida huwezi.Au uwe umepewa Cheo
 
Dalili zote zinaonyesha CCM itaanguka uchaguzi huu na moja ya kiashiria kikuu ni wazee kukaa kimya kipindi Kama hiki.

Wameona ni Bora kutunza heshima zao ili hata Lissu akishinda Urais aweze kuendelea kuwapa stahiki zao.

Wanaona kabisa taratibu mgombea wao anavyozama na wao wanaona aibu kwenda kumnadi mtu asiyeuzika.

Wameshanusa nchi kwenda kwenye mikono sahihi ya utawala wa haki ambao hata wao watakuwa ni moja ya wanufaika wa mfumo huo.

Nawapongeza Sana wazee kwa kukataa kutumika uchaguzi mwaka huu.

Nawasihi pia Police TISS someni halama za nyakati Lissu sio Lowassa,Slaa, Mbowe,Lipumba au Mrema.
Ha ha ha utopolo mtupu, hivi kuna wazee wanaomuumga mkono Mbowe na genge lake kweli?. Siku hizi hata wale wazee wa Chadema waliokuwa wanapata posho kidogo na kujitokeza wamekata miguu maana jumba bovu lavuja yakhe. Hiko chama jeuri yenu ilikuwa ruzuku, na michango ya wabunge na Pesa za mifuko ya majimbo Sasa inakula kwenu Oct 28.
 
Hivi mtu na kijana mwenye akili nzuri unawezaje ku support Magufuli na ccm yake?Lazima akili yako iwe fyatu kdg aisee akili yakawaida huwezi.Au uwe umepewa Cheo
Nyie ndio huwa mnaliwa na hawa wahuni, unashabikia chama cha Mbowe saccos unapata nini kwa mfano. Akili za kushikiwa na Mbowe hizi, badilikeni.
 
Na ukiwa unashabikia upinzani unakuaje maana naona hujamalizia kuwa lazima utakua layama.

Back
Top Bottom