Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,657
30,034
Kampgia simu jana kummweleza kuwa wapo pamoja,

======

Mhe. Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel. Wazungumzia kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wa Tanzania na Ujerumani hususani katika uchumi.
IMG_20190321_155146.jpg
 
Mnatafuta sifa kwa nguvu!

Hata yule boss wa Barrick alikuwa na lugha za aina hii!

Alafu muwe makini sana na Press release za Magogoni maana uzoefu unaonyesha........
Jaribu kupata picha kama kila simu ambayo Jk au Mkapa alipiga na kuongea na Kiongozi wa Nchi nyingine halafu kukawa na press release ya kila call hali ingekuwaje..!
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu haina kazi kabisa hivi sasa.
 
Kampgia simu jana kummweleza kuwa wapo pamoja,

======

Mhe. Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel. Wazungumzia kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wa Tanzania na Ujerumani hususani katika uchumi.
View attachment 1050530
Siku hizi Ikulu imepoteza hadhi yake kabisa, hii nayo ilikuwa habari kutolewa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kweli?!

Hakika nchi hii ilipofika hata mwendawazimu aweza kabisa kuongoza taifa hili la wadanganyika.

Mambo yanayofanyika sasa Ikulu ni aibu tupu kwa wenye uhuru wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom