Habari wa Jf.
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa uongozi wa Psssf Temeke kwa kuendelea kuwalea hawa watoa huduma waliopo madirishani kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa mteja pindi anapokuja...
Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani...
Lazima kuwe na MAHUSIANO kati ya gharama za Kodi na uchumi wa WANANCHI kwa taifa lolote nyingi.
Haiwezekani kuwe na Taifa linye Kodi kubwa kuliko uchumi wa mmoja mmoja kwenye hilo Taifa ndio...
Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme...
"Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu.
Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi...
Wakuu Kwema!
Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu.
Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu.
Madai makuu ni kusema makato ni...
Haiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa...
Wakili msomi Fatma Karume anahoji Wazanzibari watafaidika vipi na hii kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu.
Swali limeelekezwa kwa Dr Ummy Mwalimu wa Tamisemi.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900).
Ujenzi wa hospital ya...
Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu
Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha...
Mheshimiwa sana Mwigulu, kwa kuwa umeamua kwa namna yoyote ile ni lazima hela ipatikane, iwe kwa njia halali au dhulumati, njia safi au chafu, kwa mijeledi au kwa makubaliano, kwa shari au amani...
Serikali ya awamu ya sita chini ya mama Samia Suluhu imeanza kazi kwa kutoa wito kwa wafanyabiashara wote hapa Tanzania na nje ya Tanzania kurudi na kuendelea na biashara hapa nchini baada ya...
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi...
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu...
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Usihangaike kuandaa hotuba ndefu kujichosha wewe mwenyewe pamoja na watakaokusikiliza.
Wafanyakazi wanataka kusikia mambo manne tu:
1. Nyongeza ya mishahara yao ambayo ilisitishwa tangu 2015...
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais...
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei...