Waziri Mkuu Majaliwa awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,544
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi.

Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli.

Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha mahusiano hususani ya kiuchumi kati ya Tanzania na Morocco.

Katika ziara hiyo Waziri Mkuu ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda na Mkurgenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Japhet Justine.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumatatu, amepokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco, Mohcine Jazouli mara baada ha kuwasili uwanja wa ndege wa Mohammed V uliopo jijini Casablanca nchini Morroco. https://t.co/lEOIi9CjFc
 
Hongera kwa kufika salama!

Tunaomba utuwakilishe vyema.

1.Mfalme wa Moroko alikuja Tanzania kimkakati ili tumuunge mkono ombi la nchi yake kurejeshwa katika umoja wa Afrika.Naamini na sisi tuna jambo letu.

2.Mfalme wa Moroko alifika Tanzania akatoa baadhi ya ahadi(mojawapo ni kusaidia ujenzi wa uwanja wa mpira),Muanze naye kwa kumkumbusha vitu alivyoahidi,maana kwa jinsi nilivyomuona huyu Mfalme ana mambo ya "utozi",ujana mwingi(rejea alivyotembelea Zanzibar) asije akawa ametupa ahadi za uongo!.

3.Mheshimiwa, wewe na timu yako ijifunze "wenzetu wanawezaje", na sisi "tunashindwaje" katika maeneo ya utalii,michezo, treni ya kusasa na ukuaji wa biashara na uchumi.

4.Mwisho timu yako ikirudi ifanye " presentation" kwa wadau ili tuende kwa kasi, ili tuache yale mazoea Kiongozi anaenda ziara na safari yenye msafara wa wataalamu na viongozi lakini mnarudi mnakaa kimya, wala hamtuambii nini mmejifunza huko!
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi.

Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli.

Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha mahusiano hususani ya kiuchumi kati ya Tanzania na Morocco.

Katika ziara hiyo Waziri Mkuu ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda na Mkurgenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Japhet Justine.
Ni wale walituahidi stadium ya kisasa au?
 
Morocco inazidi kuimarisha uhusiano na nchi zilizoiunga mkono irudishwe uanachama wake Umoja wa Afrika AU baada ya miaka mingi ya Morocco kutengwa kutokana na kuikalia kimabavu nchi ya Sahara ya Maghrib.

Tanzania, Ethiopia na Rwanda ni mojawapo wa nchi zilizoipigia chapuo Morocco irudushiwe uanachama Umoja wa A


Morocco flexed economic muscles and returned to the AU​

The North African country has now rejoined the African Union, having worked slowly but steadily to establish itself as a major economic force in sub-Saharan Africa.
From Africa Renewal:
December 2016 - March 2017
By:
Franck Kuwonu
Moroccan King Mohammed VI is welcomed by President John Pombe Magufuli on a visit to Tanzania in October 2016. Photo credit: Presidency of Tanzania
Photo credit: Presidency of Tanzania
Moroccan King Mohammed VI is welcomed by President John Pombe Magufuli on a visit to Tanzania in October 2016. Photo credit: Presidency of Tanzania
IF YOU CAN'T READ NOW, JUST LISTEN TO THE AUDIO VERSION:
"It is a beautiful day when one returns home after too long of an absence,” King Mohammed VI of Morocco said after the North African country was readmitted to the African Union (AU) at its summit in January.

The decision by AU leaders in Addis-Ababa, Ethiopia, capped a swift and remarkable process since the King informed them at last year’s summit in Kigali, Rwanda of his country’s intention to return to the fold.” Thirty-nine of the AU’s 54 countries voted in favour of readmission.

Morocco left the former Organisation of African Unity (AU’s predecessor) in 1984, to protest the seating of the Polisario Front as representatives of the Sahrawi Arab Democratic Republic (SADR), a former Spanish colony west of the Sahara that Morocco considers part of its territory. SADR disputes Morocco’s position, and 30 years later the dispute remains unresolved.

In explaining Morocco’s return to the AU, the king said, “When a body is sick, it is treated more effectively from the inside than from the outside.”

Over the years, the kingdom has expanded its economic ties with many countries on the continent, mainly through trade and investments since it left the AU.

Now it appears to have successfully leveraged its economy weight into being reinstated to the AU.

Continental ambition
“We are Arabs, but we are also Berbers and Maghrebi,” Brahim Fassi Fihri, the president and founder of Institut Amadeus, a Morocco-based think tank, told Africa Renewal.

He was referring to the multicultural identity of his country, which is made up of mostly Berber and Maghrebi ethnic groups. He maintains that the decision by Morocco to leave the regional body three decades ago was a “strategic mistake” in the first place. Still, “Africa is our natural home,” he said. “We may have left an organization, but we could never have left the continent.”

As a sign of its political solidarity with Africa, Morocco’s national carrier, Royal Air Maroc, maintained its regular schedule to West Africa at the height of the Ebola epidemic two years ago, when all international air carriers, with the exception of Belgium-based SN Brussels, suspended flights to the affected countries of Guinea, Liberia and Sierra Leone over contagion fears.

The decision was based on humanitarian grounds, not commercial—out of brotherly solidarity “reflecting the kingdom's constant commitment to Africa,” the airline’s spokesman told Agence France-presse (AFP) at that time. The airline has expanded its network across the continent.

Over the past decade, it has increased its flights to African destinations from 14 in 2007 to 32 in 2016. To some extent the story of the national carrier is a telling testament to its expansive economic ambition on the continent.

Over the 10-year period starting in 2004, Morocco’s trade with the rest of the continent grew by an annual average of 13% ($3.7 billion) in 2014, 42% of which was with sub-Saharan Africa. This represented just 6.4% of the kingdom’s overall trade globally during the same period, according to a government report titled Morocco-Africa Relationship: Ambition for a New Frontier.

First investor in West Africa
Yet the most remarkable change was Morocco’s direct investments in the continent. In 2015 it invested $600 million, with neighbouring Mali getting the lion’s share, followed by Côte d’Ivoire, Burkina Faso, Senegal and Gabon, according to the World Investment Report 2016, a publication of the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD).
Over the decade ending in 2016, Morocco’s investment in sub-Saharan Africa represented 85% of its overall foreign direct investment (FDI) stocks, according to data from the country’s finance ministry and the African Development Bank.

“Moroccans became a more prominent investor on the continent, initiating 13 intra-African investments—its highest in over a decade,” reckoned a 2015 survey report by Ernst & Young, a global financial consultancy firm. The reason behind the growing interest in sub-Saharan Africa, says Ernst & Young, was that “Moroccan companies are looking towards sub-Saharan Africa as their country becomes a platform for exporting to other African countries.”

Morocco’s investments are mostly concentrated in banking and telecommunications sectors, which in 2013 accounted for 88% of its FDI stocks in sub-Saharan Africa.
The country’s leading bank, the Attijariwafa Bank Group, and part of the kingdom’s holding company Société nationale d’investissement (SNI), with 7.4 million customers and more than 16,000 employees, operates in 10 sub-Saharan African countries: Cameroon, Republic of Congo, Côte d’Ivoire, Gabon, Guinea-Bissau, Mali, Mauritania, Niger, Senegal, and Togo.
The Banque Marocaine du Commerce Extérieur (BMCE) group has a network of 18 country operations, mostly in West, Central and East Africa through Bank of Africa, its subsidiary.

Maroc Telecom, the leading national telephone company, operates in 11 African countries, such as Burkina Faso and Mali, under different names, including Moov in francophone West Africa.

Preferred destination
Beyond these traditional sectors, Moroccan companies have also ventured into insurance. The Saham Insurance Group, for one, began operations in 10 African countries in 2010, and continues to expand across the continent, most recently with the acquisition in 2015 of Continental Reinsurance Plc of Nigeria.

For many years West African countries and to some extent Central African countries were the preferred destinations of Morocco’s investment in sub-Saharan Africa. In a letter to the AU, the king explained that “the important involvement of Moroccan operators and their strong engagement in the areas of banking, insurance, air transport, telecommunications and housing are such that the kingdom is now the number one investor in West Africa.” He added, “My country is already the second largest investor on the continent and our ambition is to be ranked first.”

Last October the king travelled to East Africa and Ethiopia, as Rwanda and Tanzania prepared to sign business deals. “The Moroccans’ current visit to East Africa marks a serious intent to enter the region and widen their interests in Africa,” The New Times in Rwanda reckoned.

To some observers the reasons behind Morocco’s foray into the continent are purely economic. “Several Moroccan companies are betting their growth on sub-Saharan Africa,” says Mr. Fihri. He told Africa Renewal that Moroccans, just like Americans, Europeans and Asians, are interested in Africa because it is “a continent with huge growth potential.”

In September 2015, Abdelmalek Alaoui, a Moroccan editorialist and political analyst, wrote in La Tribune, a French weekly financial newspaper, “Well ahead of other investors [before the latest rush on the continent], Morocco was able to see potential where others could only think of risks.”

Political leverage
However, other analysts like Amine Dafir argue that Morocco’s growing economic interest on the continent was designed to shore up influence it may have lost by withdrawing from the AU.
Strongly supporting Morocco in its formal application to rejoin the AU was a group of 28 African countries, representing more than the half of the votes (27) required for admission. The pro-admission countries penned a letter to the AU requesting the suspension of SADR’s membership until issues surrounding the legality of its existence are resolved by the United Nations Security Council. “Our demand is grounded in international laws,” said Macky Sall, the Senegalese president, whose country was one of the signatories.

Over the last three years, the king of Morocco, often travelling with a large entourage of businessmen, has visited several African countries, including Côte d’Ivoire, Gabon, Guinea-Bissau, Mali and Senegal. Besides having been the most vocal supporters of the kingdom, these countries were also the top five destinations of Morocco’s FDI in sub-Saharan Africa.

In Addis Ababa, last month, 39 member states out of 54 voted for Morocco readmission; an outcome that Jawad Kerdoudi, the head of the Moroccan Institute of International Relations, had predicted as a “diplomatic victory born out of a deliberate and actions-driven strategy”.
Source : Morocco flexed economic muscles and returned to the AU
 

Mzozo wa Sahara Magharibi wafukuta kwa miaka 40 sasa​

05.04.2018​

19454450_101.jpg


Morocco ameonya kuchukua hatua ikiwemo ya kijeshi kama Umoja Mataifa hautachukua hatua dhidi ya ujenzi na mpango wa chama cha Polisario kuanzisha vituo vya kijeshi katika ukanda usio wa kijeshi katika Sahara Magharibi.​

Waziri wa mambo ya nje wa Morocco Nasser Bourita ameonya kwamba nchi yake inazingatia kuchukua hatua zote ikiwemo ya kijeshi kama Umoja Mataifa hautachukua hatua dhidi ya ujenzi na mpango wa chama cha Polisario kuanzisha vituo vya kijeshi katika ukanda usio wa vita unaosimamiwa na Umoja wa mataifa katika eneo la Sahara Magharibi.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari Waziri Bourita amesema kwamba makubaliano ya kusitisha vita ya mwaka 1991 yanatishiwa na vitendo vya hivi karibuni vya chama cha Polisario ambacho kinatafuta uhuru wa eneo la Sahara Magharibi lenye utajiri mkubwa wa madini.

Nikimnukuu hapa anasema" Morocco inasema wazi kabisa hatua zote zinazingatiwa, Morocco haiwezi kuruhusu mabadiliko kwa makubaliano yaliyopo. Kama Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Kimataifa haziwajibiki, Morocco itachukua majukumu yake."

Kukanisha kwa tuhuma za Morocco

19454456_101.jpg


Walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa katika Sahara ya Magharibi
Mapema wiki hii mwakilishi wa Chama cha Polisario katika Umoja wa Mataifa, Ahmed Boukhari alizikanusha tuhuma Morocco kwa kuzieleza kuwa zisizo na msingi na za uongo.

Baadae Jumatatu aliliambia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa katika barua yake kwa kusema jeshi la ulinzi wa amani la Umoja wa Mataifa katika eneo la Sahara Magharibi halijaripoti taarifa yoyote ya kisa cha kukiukwa kwa makubaliano ya kuweka chini silaha, kilichofanywa na kundi hilo lenye kufanya harakati za kutaka kujitenga.

Boukhari ameituhumu Morocco kwa kutaka kubadili hali ya sasa ilivyo kwa kujenga barabara katika eneo la ukanda salama wa eneo la Guergert.

Vilevile amesema tuhuma hizi za sasa za Morocco zina lengo la kuliondosha baraza la usalama katika zingatio la masuala yake yanayosababisha mkwamo kwa kipindi hiki katika eneo la Sahara Magharibi.

Jana Jumatano Shirika la habari la Algeria APS lilichapisha taarifa ya Kundi la Polisario ikisema Boukhari amefariki dunia Jumanne nchini Uhispania akiwa na umri wa miaka 64 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Morocco ilichukua udhibiti wa jimbo hilo la Sahara Magharibi mwaka 1975 baada ya mtawala wa kikoloni Kihispania kujiondoa , na kusababisha mapigano ya chini kwa chini kwa ajili ya uhuru wa jimbo hilo ambayo yalimalizika mwaka 1991 wakati umoja wa mataifa ulipoweza kupatanisha na kupeleka jeshi la kulinda amani katika jimbo hilo.

Hatua hiyo pia ilikwenda sambamba na kufanyika kwa kura ya maoni kwa ajili ya kuamua hatma ya baadae ya eneo hilo. Hata hivyo kura hiyo haijapigwa mpaka wakati huu.

Morocco inalichukulia eneo la Sahara Magharibi lenye utajiri mkubwa wa madini kama "jimbo lake la kusini" na imependekeza kulipa eneo hilo nguvu kubwa ya kujitawala. Lakini Chama cha Polisario kimeendelea kushinikiza kujitegemea kwa kutumia kura ya maoni kwa watu wa eneo hilo ambao wanakadiriwa kuwa kati ya 350,000 na 500,000.

Lakini Waziri wa mambo ya nje wa Morocco Nasser Bourita anasema amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hapo jana na amemkabidhi barua kutoka kwa Mfalme Mohammed wa Sita ambae pia alizungumza na mkuu huyo wa umoja wa mataifa. Anasema mfalme nae amesitizita kutatuliwa haraka mzozo uliopo tofauti na hapo Morocco itachukua hatua.

Mwandishi: Sudi Mnette APE

Mhariri: Iddi Ssessanga
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi.

Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli.

Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha mahusiano hususani ya kiuchumi kati ya Tanzania na Morocco.

Katika ziara hiyo Waziri Mkuu ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda na Mkurgenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Japhet Justine.
Kwanini hajaambatana na Mkewe Mary?
 
Mwisho timu yako ikirudi ifanye " presentation" kwa wadau ili tuende kwa kasi, ili tuache yale mazoea Kiongozi anaenda ziara na safari yenye msafara wa wataalamu na viongozi lakini mnarudi mnakaa kimya, wala hamtuambii nini mmejifunza huko!
12 July 2021
Casablanca, Maroc


Miye pia naongeza, Morocco inasifika kwa kuwa kitovu cha kukata vito vya thamani kama almasi na madini jamii ya tanzanite.

Habari za kiintelejensia zinasema wazee waliofanya kazi ktk kiwanda cha TANCUT ALMASI huko Iringa baada ya sera za serikali kukiua kiwanda hicho walitimkia Morocco na Belgium ambapo wanaendeleza vipaji vyao kuchonga na kuchoroga madini yaongezeke thamani.

Awamu ya 6 irudishe heshima hiyo ya kuwa waTanzania wanaweza kupata ujuzi wa kuchonga madini kama wazee hao wa TANCUT, kwa kuwapeleka waTanzania huko Morocco wakajifunza na kurejea nchini wafanye kazi ndani wa eneo la Mererani ulipojengwa ukuta ili mbali ya kuzuia kutoroshwa madini ya tanzanite pia kazi ya kuongezea thamani madini hayo ifanyike Tanzania na kuongeza ajira, kufanya Mererani iwe kitovu cha Madini yaliyoongezewa thamani na kuwa soko tajwa la kimataifa la madini.

Ikiwa nchi kama za Morocco, Botswana, Israel, India , Belgium wameweza kuwa na wachongaji vipi Tanzania ya baada ya iliyokuwa TANCUT Almasi yaani karne yetu ya digitali ya 2021 tushindwe.
In 1986 the only subsidiary to declare a dividend was the Tanzania Diamond Cutting Co. Ltd which
made a profit of 26.4 MTshs on a turnoverof232.3 MTshs. The total turnover of Stamico’s subsidiaries
was 778.8 MTshs (20.6 MUSD) of which diamond mining and cutting constituted eighty-six percent,..............READ MORE source :
.The Minerals Industry of Tanzania
By
Paul Jourdan
INSTITUTE OF MINING RESEARCH
University of Zimbabwe
Harare, February 1990
IMR Open Report Number 119


http://documents1.worldbank.org › ...PDF
World Bank Documents
1626120448784.png
31 Mar 1975 — Mwadui diamond mine of Williamson Diamonds Limited. ... Tanzania Diamond Cutting Co. of Iringa - Tancut - purchases ...
 

The Ambassador of Tanzania in Paris, permanent delegate to Unesco (and attached to Morocco) talks about the upheavals that his country is experiencing.​


Source : Le Courrier de l'Atlas
12 May 2021
Gestion du Covid , relation de la Tanzanie avec le Maroc, politique économique et environnemental. Depuis le décès du président John Magufuli en mars 2021, le pays est dorénavant dirigé par Samia Suhulu Hassan, 1ère femme à devenir présidente de ce pays. L’ambassadeur de Tanzanie à Paris, délégué permanent à l’Unesco (et rattaché au Maroc) revient sur les bouleversements que connait son pays.

The Atlas Courier: Tanzania has come under heavy criticism for statements made by its former president. Will the country change its policy on Covid-19?

Samwel W. Shelukindo : I think the new president has been very clear on this issue. She recognized that Tanzania had to take up this challenge it faces. The president pledged to take action and not to leave Tanzania isolated. She has set up a scientific commission which will advise her. I'm sure the direction will change on Covid19

LCDA: Where are the relations between Morocco and Tanzania?​

Samwel W. Shelukindo: These are good relationships. During his previous trip to my country, His Majesty King Mohammed VI had come. He had done a lot for the country. He built a very large mosque in Dar Es Salaam. We are trying to improve and enlarge them, particularly from an economic point of view. We had signed many cooperation agreements in all areas. We are waiting to implement all these agreements.

LCDA: What development do you see for the economy of Tanzania?​

Samwel W. Shelukindo : We still depend on agriculture. The other sectors are being developed, in particular the mining and tourism sectors. There is a lot of hope in mining in which the government was able to sort out the old contracts problem. We are starting to see the benefits for Tanzania. Before containment, we had a growth of 6 to 7%. We have done a lot of work on our infrastructure. Do not forget either that Tanzania is the country of the Great Lakes (Victoria and Tanganika) and the Indian Ocean. All the conditions are right for developing the green economy in Tanzania.
Source : S. W. Shelukindo : "La Tanzanie va changer de direction sur le Covid"
 
24 Oct 2016
Dar es Salaam, Tanzania

His Majesty King Mohammed VI, accompanied by HH Prince Moulay Ismail, arrived Sunday afternoon in Dar es Salaam for an official visit to #Tanzania, the second stage of a royal tour that will also lead the Sovereign to #Ethiopia.



25 Oct 2016
Dar es Salaam, Tanzanie


Maroc Tanzanie Signature d’accords multiples

 
Hongera kwa kufika salama!

Tunaomba utuwakilishe vyema.

1.Mfalme wa Moroko alikuja Tanzania kimkakati ili tumuunge mkono ombi la nchi yake kurejeshwa katika umoja wa Afrika.Naamini na sisi tuna jambo letu.

2.Mfalme wa Moroko alifika Tanzania akatoa baadhi ya ahadi(mojawapo ni kusaidia ujenzi wa uwanja wa mpira),Muanze naye kwa kumkumbusha vitu alivyoahidi,maana kwa jinsi nilivyomuona huyu Mfalme ana mambo ya "utozi",ujana mwingi(rejea alivyotembelea Zanzibar) asije akawa ametupa ahadi za uongo!.

3.Mheshimiwa, wewe na timu yako ijifunze "wenzetu wanawezaje", na sisi "tunashindwaje" katika maeneo ya utalii,michezo, treni ya kusasa na ukuaji wa biashara na uchumi.

4.Mwisho timu yako ikirudi ifanye " presentation" kwa wadau ili tuende kwa kasi, ili tuache yale mazoea Kiongozi anaenda ziara na safari yenye msafara wa wataalamu na viongozi lakini mnarudi mnakaa kimya, wala hamtuambii nini mmejifunza huko!
Mfalme alifika zenji akalopoa mbuchuchu za kitaa yule msanii sana 😃😃😃
 
vp lile dimba aliloliahi mfalme lini litajengwa

tuliambiwa ni zaidi ya sixty seater stedium na tena walikuja wawakilishi wake kuja kukagua eneo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom