Mange Kimambi amemponza Dr. Mwele Malecela?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,944
Reaction score
51,083
Kama kuna watu wanaona kwamba "kutumbuliwa" kwa Dr. Mwele Malecela hakuna mashiko kwa kuwa yeye alitoa tu taarifa ya kitafiti kwamba kuna watu wana virusi vya Ugonjwa wa ZIKA hapa Tanzania, basi wanaweza labda kukisia kwamba undugu wake wa zamani na Mange Kimambi unaweza pia kuwa umemponza.

Jee nani ana hakika kama simu ya Dr. Mwele ilikuwa haifanyiwi udukuzi na kugundulika kuwa anawasiliana mara kwa mara na Mange. Jee ni lini Dr. Mwele mara ya mwisho kuwasiliana na Mange na waliongea nini? Au kuna watu walitengeneza dhana kwamba zile "habari" za Mange zinatoka kwa watu wake wa karibu walio ndani ya serikali mmoja wapo akiwa ni Dr. Mwele.

Haiwezekani kwa hali hiyo ikatengenezwa dhana kwamba kama ni kweli mama alipigwa, haikutokea Daktari aliyemtibia mama aliongea na Dr. Mwele ama na mtu wa karibu na Dr. Mwele ambaye alimpa "ubuyu" ule na Dr. Mwele naye akampa Mange Habari "ile" na Mange naye "akailipua" kwenye mitandao?

Au Dr. Mwele hata bila ya dhana hizo hapo juu, aliwahi kuambiwa "Mkanye mwanao" lakini naye "akazembea" au "kupuuzia" kwa hiyo ikatafutwa nafasi na ikapatikana alipotoa taarifa ya ule utafiti? Au inawezekana ni mfuatano wa mambo unaotokea kwa nasibu tu kwa Mama kutumbuliwa na mtoto naye kutumbuliwa?

Hizi ni dhana tu, msitokwe na mapovu!!
 
Mimi ninachojua mawaziri ,na makatibu na viongozi wa upinzani simu zao zinafanyiwa udakuzi na TISS but kwa hao wengine sina uhakika sana.....

But inawezekana pia .......
 
Kama kuna watu wanaona kwamba "kutumbuliwa" kwa Dr. Mwele Malecela hakuna mashiko kwa kuwa yeye alitoa tu taarifa ya kitafiti kwamba kuna watu wana virusi vya Ugonjwa wa ZIKA hapa Tanzania, basi wanaweza labda kukisia kwamba undugu wake wa zamani na Mange Kimambi unaweza pia kuwa umemponza.

Jee nani ana hakika kama simu ya Dr. Mwele ilikuwa haifanyiwi udukuzi na kugundulika kuwa anawasiliana mara kwa mara na Mange. Jee ni lini Dr. Mwele mara ya mwisho kuwasiliana na Mange na waliongea nini? Au kuna watu walitengeneza dhana kwamba zile "habari" za Mange zinatoka kwa watu wake wa karibu walio ndani ya serikali mmoja wapo akiwa ni Dr. Mwele.

Haiwezekani kwa hali hiyo ikatengenezwa dhana kwamba kama ni kweli mama alipigwa, haikutokea Daktari aliyemtibia mama aliongea na Dr. Mwele ama na mtu wa karibu na Dr. Mwele ambaye alimpa "ubuyu" ule na Dr. Mwele naye akampa Mange Habari "ile" na Mange naye "akailipua" kwenye mitandao?

Au Dr. Mwele hata bila ya dhana hizo hapo juu, aliwahi kuambiwa "Mkanye mwanao" lakini naye "akazembea" au "kupuuzia" kwa hiyo ikatafutwa nafasi na ikapatikana alipotoa taarifa ya ule utafiti? Au inawezekana ni mfuatano wa mambo unaotokea kwa nasibu tu kwa Mama kutumbuliwa mtoto naye kutumbuliwa?

Hizi ni dhana tu, msitokwe na mapovu!!

Wasomaji watashangaa sana kwamba hiki nacho kimetoka kwako,
yaani Dr. Mwele afutwe kazi kisa kuwasiliana na Mange?
 
Mimi ninachojua mawaziri ,na makatibu simu zao zinafanyiwa udakuzi na TISS but kwa hao wengine sina uhakika sana.....
TISS ina mipaka ya kufanya udukuzi? Hapa natengeneza dhana ya uwezo wa watu wetu kudugua "maadui" wa usalama wa taifa letu!
 
Wasomaji watashangaa sana kwamba hiki nacho kimetoka kwako,
yaani Dr. Mwele afutwe kazi kisa kuwasiliana na Mange?
Unaalewa maana ya dhana? Kuna watu walijenga dhana kwamba kwa kuwa Lowassa ana hela "nyingi sana" basi kujiunga kwake CHADEMA na kugombea Urais ni kwa kuwa aliinunua CHADEMA toka kwa Mbowe kwa kumpa mabilioni ya shilingi. Zilikuwa dhana tu na zitabakia kuwa dhana!!
 
Kwa system hii ya utawala wa bwana 'mtukufu' haya yote yanawezekana.
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba huyo nange ndio kamtuma nywele akatangaze huo uzushi?
Wewe unadhani Mwele kutangaza kwamba kuna watu wana Virusi vya ZIKA ni kosa kubwa sana? Kwenye mkataba wake na maelezo yake ya jinsi ya kufanya kazi (Job description) kuna maelezo kwamba haruhusiwi kutangaza matokeo ya tafiti mpaka awasiliane na Waziri?
 
Kama kuna watu wanaona kwamba "kutumbuliwa" kwa Dr. Mwele Malecela hakuna mashiko kwa kuwa yeye alitoa tu taarifa ya kitafiti kwamba kuna watu wana virusi vya Ugonjwa wa ZIKA hapa Tanzania, basi wanaweza labda kukisia kwamba undugu wake wa zamani na Mange Kimambi unaweza pia kuwa umemponza.

Jee nani ana hakika kama simu ya Dr. Mwele ilikuwa haifanyiwi udukuzi na kugundulika kuwa anawasiliana mara kwa mara na Mange. Jee ni lini Dr. Mwele mara ya mwisho kuwasiliana na Mange na waliongea nini? Au kuna watu walitengeneza dhana kwamba zile "habari" za Mange zinatoka kwa watu wake wa karibu walio ndani ya serikali mmoja wapo akiwa ni Dr. Mwele.

Haiwezekani kwa hali hiyo ikatengenezwa dhana kwamba kama ni kweli mama alipigwa, haikutokea Daktari aliyemtibia mama aliongea na Dr. Mwele ama na mtu wa karibu na Dr. Mwele ambaye alimpa "ubuyu" ule na Dr. Mwele naye akampa Mange Habari "ile" na Mange naye "akailipua" kwenye mitandao?

Au Dr. Mwele hata bila ya dhana hizo hapo juu, aliwahi kuambiwa "Mkanye mwanao" lakini naye "akazembea" au "kupuuzia" kwa hiyo ikatafutwa nafasi na ikapatikana alipotoa taarifa ya ule utafiti? Au inawezekana ni mfuatano wa mambo unaotokea kwa nasibu tu kwa Mama kutumbuliwa mtoto naye kutumbuliwa?

Hizi ni dhana tu, msitokwe na mapovu!!
"Premises of your argument" bado hazijakaa vizuri.
 
Kuna baadhi ya watu wamezikabidhi akili zao kwa huyu Dada anayeitwa Mange Kimambi.

Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wanaomtegemea kifikra katika makuzi yao lakini yeye anaishi kwa kutumia fikra za Mange Kimambi.

Hii nchi ina matatizo zaidi ya tunavyodhani.

Kinachoshangaza zaidi, huyu mwanamke eti anataka freedom of expression lakini watu wakitoa maoni tofauti na fikra zake anawa block kwenye page yake. Freedom of expression kwa wengine lakini kwake hapana. This is fun to say the least.

Hafahamu kuwa freedom of expression goes both ways.
 
Hizo.n dharau....

Kwa watu wenye akili timamu sidhan km wanakoseshwa usingiz mange..maana yupo yupp km mtu mwenye matatizo,stress niwakumuhurumia

Dr katumbuliwa kwa kosa alilolifanya
 
Mawazo yote ya binadamu huwa yanaungwa ungwa!! Hii ni dhana fikirishi au wanaopenda kutumia kiingereza wanaiita "Conspiracy theory"!
 
Back
Top Bottom