Boligado
Member
- Jan 10, 2012
- 44
- 49
Tozo iwe tsh 500 kwa kila muamala itafikia lengo la makusanyo ya 1.254tr. (Bajeti ya serikali 2021/22) mapato yanayotegemewa kupatikana na tozo ya miamala.Kutegemea na idadi ya miamala iliyokuwa inafanyika kwa siku. ( Makampuni ya simu wanajua data hii)
Inaelekea data ambazo makampuni walizotoa kwa serikali wakati maandalizi ya bajeti walitoa idadi ya miamala ikiwa pungufu na hivyo
Seikali wakaweka charge zikiwa juu ili kutimiza lengo la 1.254tr.
Hii 1.254tr. Unaweza kuipata kwa miamala 2.73m kwa siku kwa kampuni zote za simu na inawezekana. Yaani 1.254tr= tsh 1254 kwa muamala x 2.73m miamala x siku 365 hivyo tozo itakuwa tsh 1254 kwa kila muamala.
Pia 1.254 tr= tsh 627 kwa muamala x 5.46m miamala x siku 365 Na pia tozo ikawa 627 tsh kwa kila muamala.
Miamala zaidi ya 5.46m kwa siku na uhakika ilikuwa inafikiwa bila shaka yoyote kabla ya Julai 15, 2021Hii ni hesabu ndogo tu.
Niliongea na wakala mmoja akasema yeye kwa siku anafanya miamala 90 had 100. Na hawa wanaoweka pia huzalisha miamala watakapotuma kwa ndugu na jamaa na kuendelea.
Na kulingana na idadi ya mawakala zaidi ya laki mbili nchini hao wote wanaweza kuzalisha miamala zaidi ya 5.46m na hivyo tozo ikiwa tsh 500 itafanya lengo la serikali litimie na wananchi watakuwa happy kwamba wanachangia pasipo maumivu.