Sikukuu ya Eid imegeuka siku ya wenye madaraka kuwatesa wenzao bila hatia

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa.

Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao wenyewe awana hamu na eid maana nafsi zao zimejaa dhambi wanazotenda kwa kiburi cha madaraka.

Mwanza naamini wapo Askari walipanga kukaa na ndugu na jamaa kusherekea skuu lakini wanalazimika kukaa barabarani kufanya kazi ambayo haina tija kwa Taifa.

Duniani badala waripoti tulivyosherekea eid wanaripoti namna tunavyokamatana. Waumini wengine Duniani wanashuhudia namna sisi waumini wenzao tunavyowanyanyasa wananchi huku kwenye page zetu za mitandao ya kijamii tukiaonyesha tunamcha Mungu. Hakuna Mungu asiyejali haki.

Kibaya zaid chuki inavyoendelea tumerudi kule tulipokubaloana tuondoke, tulikubaliana tusiombeane kifo na Sasa naanza kuona watu wameanza kuwaombea viongozi kifo.

Madhara ya dua hizi ni kwamba maombi yanakwenda kwa Mungu lakini wapo wanaoelekeza maombi yao kwa miungu. Utashangaa viongozi wanalogwa na wao badala wafanye kazi watakesha kwa waaguzi na waganga. Taifa linakuwa lakishirukina. Na tujuavyo ushirikana haujawahi kuleta maendeleo.

Tunaposherehekea sikukuu tusherekee tukijua kwamba tumemkosea Mungu siku ya eid na soon atawalipa kama siyo kwa kuwaondoa Duniani Basi atawaadhibu kwa njia anayoijua.
 
Wenye mamlaka wamekataza huo mkusanyiko alafu unalazimisha unategemea nini, tena kwenye serikali ambayo ipo Africa nguvu kwanza mazungumzo baadae.
Alafu polisi wote hawawezi kubaki nyumbani kulaskukuu.
 

Mbona huu mkusanyiko unafanyika na Raia mwema anatukanwa na kuswekwa ndani.
 
Back
Top Bottom