Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi.

Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi kama hizi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ili mbidi azifanyie kazi bila kuangalia mtu usoni wala kumwonea huruma.

Mwaka 2021 tumetoka ktk vita kali. Wenye macho matatu tuliona hili zamani. Vita ile ya 2020 Oktoba haikuwa ya kitoto, imekomba pesa zote. Pesa zilitumika kununua zana za kivita, namna ya kushinda na kudhibiti washindani kwa nguvu zote. Hiyo ndio maana ya vita. Kutumia mbinu yoyote halali na haramu kumshinda adui.

Kujenga nchi sio kuimba nyimbo za Iyena iyena. Sio porojo za kukejeli na kuwazodoa wapinzani. Ni kujitoa kwa maumivu na jasho.

Dr Mwigulu umewafumbua wajinga wengi. Wengi wanaoona nchi ikisonga bila kujua namna inasongeshwa. Sasa watanzania tuwe tayari kwa haya. Waliofurahia vita ile na waliochukia vita ile 2020 Oktoba sasa haya ndio madhara.

Mama aliposema tuweke mchakato wa katiba Mpya Mpaka hapo baadae ili kupisha ujenzi wa uchumi hii ndio maana yake.

wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.

Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
 
Hii nchi bila kuwa na watu wajasiri haiwezi kwenda tabia za ulalamishi ,kukosoa,kulaumu imekuwa jadi kubwa.

Hawa pumbavu sana watu hawataki kulipa kodi unategemea nini? Waliojiita wafuasi wa Zuma wako wapi? Zuma yuko ndani na wale wapumbavu wanashughulikiwa.

Serikali haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki saizi hata kodi hazikusanywi,watu hawalipi kodi na hii ya mshikamano wanazingua,Maza vipi? Si wamuwekee ngumu kodi zilipwe nchi isogee,bila maamuzi magumu hatufiki.
 
Mfike wapi kima nyie
 
Huyo mpumbavu mwenzio anatakiwa aonyeshe mfano kwa kufanya yafuatayo 1. Kuanza kukata kodi (paye) kwenye mishahara ya wabunge wote. 2. Kupunguza mafao ya wabunge yafanane na watumishi wengine wa umma (kama ulikuwa hujui mafao ya mbunge kwa miaka mitano ni zaidi ya dr aliyehudumu kwa miaka 30) 3. Ahakikishe Wabunge wawe wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ndio mwamaccm mwenye wafuasi wengi nchini.
 
Hii nchi bila kuwa na watu wajasiri haiwezi kwenda tabia za ulalamishi ,kukosoa,kulaumu imekuwa jadi kubwa.

Hawa pumbavu sana watu hawataki kulipa kodi unategemea nini? Waliojiita wafuasi wa Zuma wako wapi? Zuma yuko ndani na wale wapumbavu wanashughulikiwa.

Serikali haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki saizi hata kodi hazikusanywi,watu hawalipi kodi na hii ya mshikamano wanazingua,Maza vipi? Si wamuwekee ngumu kodi zilipwe nchi isogee,bila maamuzi magumu hatufiki.
😅😅😅tutaelewana tu. Ccm inasaidia sana kufundisha wananchi haki zao. Waliochelewa kuelewa nadhani muda si mredu tutakuwa jumba moja.
 
Wamemseti, kaingia kwenye 18 mazima, Mwigulu hatoboi Octoba.
Mwigulu hatafanywa lolote ametumwa na system ovu iliyomfikisha hapo alipo. Mtalalamika hivi hivi ma tozo mtakatwa tu. Kama hutaki hamia somalia.
 
Huyo mpumbavu mwenzio anatakiwa aonyeshe mfano kwa kufanya yafuatayo 1. Kuanza kukata kodi (paye) kwenye mishahara ya wabunge wote. 2. Kupunguza mafao ya wabunge yafanane na watumishi wengine wa umma (kama ulikuwa hujui mafao ya mbunge kwa miaka mitano ni zaidi ya dr aliyehudumu kwa miaka 30) 3. Ahakikishe Wabunge wawe wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Haiwezekani kila mtu akawa tabaka tawala,hata ukikata kodi kwa hao tabaka tawala huwezi kupata kiasi ambacho kingepatikana kwingineko.

Lazima kuwe na wenye kuamua na wenye kutii maamuzi,kwa hiyo hapo hakuna hoja ya kukaidi malipo Halali ya tozo ya mshikamano.
 
sahihi kabisa.
 
E6uGc9pXMBMAHM1.jpg
 
Back
Top Bottom