Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharula tarehe 22/7/2021

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,237
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum.

Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama hicho , akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe , ambaye alivamiwa na kutekwa kisha kufichwa kusikofahamia linatarajiwa kuchukua nafasi kubwa.

Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika.
 
Nafikiri Faru John imemwangusha tena kama ilivyotokea Dodoma wakati ule mkasema amevamiwa.
 
Cdm walisumbua sana kipindi cha JK. Wanarudi tena. Mama awe makini sana. Hawana jema hao.
Huu ndio usumbufu ?
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana_na_Waziri...jpg
 
njaa ndio zinawafanya mhongwe mifuko ya chumvi
Waambie kina Mbowe, Sugu, Lema, Msigwa, Heche warudishe pesa zote za ubunge na mafao waliyolipwa kutoka HAZINA kama hawana NJAA.

Waambie Chaggadomo warudishe RUZUKU yote waliyopewa kama hawana NJAA 👇👇
  • Milioni 350M kila mwezi kwa miaka mitano ( 2010- 2015 )
  • Milioni 450 kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Njaaaaa ndio inakimbiza kimbiza huko kina Mbowe, Msigwa na Heche
 
Hakuna kukubali sheria za wengine zivunjwe kwa kitumia jeshi la polisi halafu watu wakae kimya, dawa ni kuwalaani kwa kila njia.
 
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum

Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama hicho , akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe , ambaye alivamiwa na kutekwa kisha kufichwa kusikofahamia linatarajiwa kuchukua nafasi kubwa .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika
Dharura sio dharula.Jamani hata herufi tunashindwa kuziandika?
 
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum

Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama hicho , akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe , ambaye alivamiwa na kutekwa kisha kufichwa kusikofahamia linatarajiwa kuchukua nafasi kubwa .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika
Waje na mkakati wa kuandamana hakuna namna
 
Nyumbu ni nyumbu tu. Hata umtandike bakora ngapi unyumbu wake hautamtoka.
 
Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum

Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama hicho , akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe , ambaye alivamiwa na kutekwa kisha kufichwa kusikofahamia linatarajiwa kuchukua nafasi kubwa .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika
I hate CCM
 
Mungu awatie nguvu waje na maamuzi magum,na yakiume kweli kweli, michezo hii halikubaliki, wasibembelezwe wale, iwe ni lazima kuachia watu
 
Back
Top Bottom