CCM ni hatari kwa Taifa

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Mara nyingi tunaongea humu, kuwa CCM ni chama chakavu kilichoishiwa mbinu za kutawala kistaarabu badala yake wanategemea nguvu za Dola kubakia madarakani.

Nawaonya CCM tena, mjue kuwa Mungu yupo na anaishi milele ni Mungu wa haki ni Mungu wenu pia, nasi pia ni Mungu wetu, ila yeye husimama na wenye haki tu ndio principle ya Mungu hiyo.

Kama matendo yenu dhidi ya wapinzani ni haki, Basi mtazidi kustawi, ila Kama ni uonevu Basi muda wenu umefika. Mungu, hujibu maombi, keshatujibu maombi mawili Tayari, Bado maombi mawili tu kinaeleweka haki ya Mungu.

Kila la heri CCM,nyie mna haki kuliko mtu yoyote Tanzania.
 
Relax,moyo wa mtu ni kichaka.hakuna mwanasiasa yeyote atakaestawisha maisha yako binafsi kwa Africa hii,mfano wa nchi jirani ya Kenya walishika upinzani lakini hakuna jipya ni utopolo uleule kama wa chama tawala,kwenye siasa nenda kwa step.
 
CCM wako sahihi mno.

Huwezi kuleta UTULIVU barani afrika kwa STYLE za akina Zuma na Ramaphosa....umeona sasa WAFANYA VURUGU HAWAKURIDHIKA pamoja na KATIBA yenye kuweza KUMSHTAKI RAIS WAO.

Unapokuwa na wasumbufu na watukutu kama hawa "TPLF wa bongo" dawa ni kuwapigia VIONJO wanavyoweza KUCHEZA TU.

#KaziInaendelea
 
Relax,moyo wa mtu ni kichaka.hakuna mwanasiasa yeyote atakaestawisha maisha yako binafsi kwa Africa hii,mfano wa nchi jirani ya Kenya walishika upinzani lakini hakuna jipya ni utopolo uleule kama wa chama tawala,kwenye siasa nenda kwa step.
Akisema amekuelewa plz nitag.
 
Sijui hata umeandika nini?

By the way,huwajui wa South Africa wewe,halafu hiyo kazi inayoendelea imekusaidia nini ndugu?

Miala ya M Pesa imepanda halafu Bado uko zoba kabisa kichwani,aisee Black skin is a Black curse!
 
Matendo ya SERIKALI YA CCM NI YA HAKI....

Kwani imekuwa ikijitokeza kwa haraka sana KUZUIA ishara za maandalizi ya VURUGU NA UASI....

Kongole kwao CCM na Serikali yetu 👍🙏

#KaziIendelee
 
Sijui hata umeandika nini?
By the way,huwajui wa South Africa wewe,halafu hiyo kazi inayoendelea imekusaidia nini ndugu?
Miala ya M Pesa imepanda halafu Bado uko zoba kabisa kichwani,aisee Black skin is a Black curse...!
Serikali ipo tu....

Kwa hiyo niichukie na kuamua kuwa "TPLF wa bongo" kisa tu miamala ya simu (sasa inarekebishwa ) imepanda?!!!!

Mimi siwajui Wasauzi Afrika...

Ila wewe ndio unaowajua wasauzi Afrika....🤣

Halafu unasema BLACK SKIN IS CURSED 😲

Pathetic
 
Relax,moyo wa mtu ni kichaka.hakuna mwanasiasa yeyote atakaestawisha maisha yako binafsi kwa Africa hii,mfano wa nchi jirani ya Kenya walishika upinzani lakini hakuna jipya ni utopolo uleule kama wa chama tawala,kwenye siasa nenda kwa step.

Kenya walishika wapinzani lakini hakuna jipya? Kenya ina uchumi mzuri maradufu zaidi ya huu wa Tanzania ambayo hajawahi kuongozwa na chama kingine zaidi ccm toka uhuru.
 
Back
Top Bottom