Tundu Lissu: Hatutamwekea dhamana Mbowe, wakitaka wamfunge

Alaaa MATAGA watamwekea atoke maana huyu jamaa kutokua huru huku hajashiriki kukwapua zile Trillion 1.5 itawapa tabu sana!
Jana MACHAGA tumeandamanaaaaa ,🤣🤣🤣
Tulianzia Bwiru, kilinukaaa.

download.jpeg
 
😂 😂 😂😂 daah
Ubatizo wa moto huu!

Ila Mbowe kama analazimisha kupata nini sijajua, au sympathy ya BEBERUZ wamchangie.
Watz kwa ujumla tulipoteza sana ramani, sasa tunajaribu kutafuta fedha.
Binafsi naamini katiba yoyote itakuja kwa maslahi ya wanasiasa.

Everyday is Saturday..............................:cool:
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema hawatamwekea dhamana mwenyekiti wao iwe polisi au mahakamani waliomkamata wakitaka ama wamwachie au wamfunge tu.

Kama chama tulishakubaliana Kiongozi yoyote akikamatwa kiutata tusimuwekee dhamana, amesema Tundu Lissu.
Sio vibaya mchakato wa kumuachia utafanyika 2026
 
Back
Top Bottom