Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,129
Ninaposema HAKI namaanisha Mungu.

Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21

Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee kuutunza na kuustawisha, la hatakuta haki tutamsii autwae utawala wako.

Hii itakuwa endelevu, kila kiongozi atakayeitawala nchi hii tutaupima utawala wake kisha tutamsihi Mungu mwenye HAKI aupime pia.

Anayekosa awajibishwe bila kujali chama chake, awe ndani ya CCM awe chama pinzani awajibishwe pia. Cha msingi ni haki tu itendeke.

Tanzania itatawaliwa kwa misingi ya haki na kumcha Mungu.

Nimeongea kiroho zaidi.
 
Nilisema hapa kuwa the so called Mama ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko bwana Chato.

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
Ninaposema HAKI namaanisha Mungu.
Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21
Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee kuutunza na kuustawisha, la hatakuta haki tutamsii autwae utawala wako.
Hii itakuwa endelevu . Tanzania itatawaliwa kwa misingi ya haki na kumcha Mungu.
Nimeongea kiroho zaidi.
Rais anaongoza nchi yenye mahitaji mengi Sana ya msingi, najua ni vigumu Sana kutimiza hitaji la Kila moja kwa kadri anavyotaka. Cha msingi afanye yanagusa wananchi wake.
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Hayo ni yako wewe.
Tulipomuonya Magufuli mliandika post za uharo kama hii.
Hatupotezi muda kibiashara na watu wasioona mbali
 
Ni suala la muda tu,huko mwanza kumegundulika genge la vijana wenye itikadi za kigaidi na uasi juu ya serikali.

Uchunguzi bado unaendelea na soon mtatangaziwa,msione Rais kachachamaa mkadhani ni easy tu,watu wamemgusa pabaya
 
Haki hiyo umeiona na kuikumbuka leo baada ya Mbowe kukamatwa. Mbona before Mbowe akamatwe ulikuwa hujaja hapa kuzungumzia swala la haki? Yan nyinyi haki mnaipima pale wanapokamatwa viongozi wa chadema au kuzuiwa kufanya mikusanyiko bila kibali tu. Mungu hawezi kujibu hukumu yako maana imekaa kibaguzi.
 
Kwetu sisi wakongwe hizi drama hazikuanza leo, namkumbuka Mahita na visu vyenye benders za cuf akiongelea ugaidi, kwao wanaona Raha.
 
Ninaposema HAKI namaanisha Mungu.
Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21
Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee kuutunza na kuustawisha, la hatakuta haki tutamsii autwae utawala wako.
Hii itakuwa endelevu, kila kiongozi atakayeitawala nchi hii tutaupima utawala wake kisha tutamsihi Mungu mwenye HAKI aupime pia . Tanzania itatawaliwa kwa misingi ya haki na kumcha Mungu.
Nimeongea kiroho zaidi.
Kwanini mungu asianze huko Uganda, Rwanda au Korea kaskazini? Unataka kuniambia sisi tuna udikteta sana kuliko huko?
 
Nilisema hapa kuwa the so called Mama ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko bwana Chato.

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Samahani mkuu kwa tuliowahi kukukebehi utusamehe
 
Ni swala la muda tu,huko mwanza kumegundulika genge la vijana wenye itikadi za kigaidi na uasi juu ya serikali.

Uchunguzi bado unaendelea na soon mtatangaziwa,msione Rais kachachamaa mkadhani ni easy tu,watu wamemgusa pabaya
Gagulalism....
Watu wameanza Maombi kwa nguvu mingi sana.....
 
Sasa nimeilewa lile kundi lililo taka katiba isifuatwe kwa mama kuwa raisi
Kweli Lukuvi na kundilake walikuwa sahihi kabisa kupinga
 
Inashangaza sn,halafu watu si wajinga sikuhizi.Kumbambikia mtu kesi kijinga hivi ni ushamba.

Watakufa et hawa watu jamani,mbona hawajifunzi?

Watanzania sikuhizi maombi yao ni makali wakiamua kumshitakia Mungu
 
Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.

Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.

Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli

Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Akutane na sabaya
 
Nilisema hapa kuwa the so called Mama ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko bwana Chato.

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom