Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria...
16 Reactions
54 Replies
5K Views
Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli. Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn...
36 Reactions
161 Replies
20K Views
Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Lissu, Asema Ushauri CDM Waache Siasa Za Mtandaoni Ni 'Poisoned Advice,' Asema Ushauri CDM Ianzishe Jeshi Ni Wa Kijinga, Vitu ambacho Kigogo hajasema: 👉1. ANC walihamisha Makao Makuu yake...
27 Reactions
86 Replies
11K Views
Leo hii, kwa kiasi kikubwa Watanzania wamekuwa mateka wa watawala. Kuna uonevu mwingi wa watawala dhidi ya wananchi, bila ya kujali imani zao, maeneo yao, makabila yao na itikadi zao. Watawala...
0 Reactions
4 Replies
722 Views
umuhofia kwenyu katika dhuruma zilizotokea kwenye jamii yetu ni huu uanzishwaji wa saccoss ambazo usimamizi wake ni wa ovyo sana. Baada ya Rais kikwete kuruhusu uanzishwaji wa saccos, watu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ndio hali halisi huko Mbeya leo hii(mwnyewe utajiongeza):
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu? Ameenda mbali zaidi na...
25 Reactions
39 Replies
5K Views
Kesho Agosti 8, 2021 Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe atazungumza na Taifa kuanzia Saa 5:00—5:30 Asubuhi.
10 Reactions
31 Replies
3K Views
TCRA NA UCSAF WAPEWA MWEZI MMOJA KUJA NA MAPENDEKEZO KUTATUA CHANGAMOTO ZA MWINGILIANO WA MAWASILIANO MIPAKANI Na Mwandishi wetu, HAI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu. 1. Serikali ya mababvu. 2. Teknolojia. 3. Mungu. Hapa chini ni Kitila Mkumbo akitema madini ya dhahabu kipindi akiwa...
5 Reactions
28 Replies
45K Views
Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu 1) Maji 2) Umeme 3) Barabara 4) Afya 5) Uongozi 6) Biashara 7) Katiba 8) Chakula 9) Ajira 10) Elimu
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukimsaidia mtu yeyote, taasisi, kampuni au kikundi fulani kutenda uhalifu/uovu, nawe unakuwa mhalifu. Raia mwema ni yule anayesaidia kuzuia kosa kutendeka. Najaribu kutafakari mambo kadhaa: 1)...
5 Reactions
7 Replies
906 Views
Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Akifafanua kwa waandishi wa habari mjini Njombe,Wakili Mligo amesema katiba ni mbovu kwasababu Rais analindwa na katiba inayompa mamlaka yakutokulazimika kutendea kazi ushauri wowote kwa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
J3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya. Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
JK atakiwa kuomba radhi MZOZO MAHAKAMA YA KADHI na Agnes Mlundachuma Tanzania Daima SUALA la uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi nchini linazidi kupanuka, na kwa mara ya kwanza tangu...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Membe kufanya hili wakati wahusika ni akina MWENGU wa TTB na jamaa wa wizara ya UTALIII? MICHUZI BLOG
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…