Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,613
218,036
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

instagram.jpg
 
Maisha yanaenda kasi sana

Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Hivi ni kweli akili zenu ziko likizo au huwa mnalazimishwa kuzipeleka likizo?
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania , ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

View attachment 1882538
Hawana shida hao wataachiwa tu maana siyo magaidi gaidi lipo ndani lina subiri ukasaini makaratasi litoke
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania , ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

View attachment 1882538
Twende mbele Kama chama, tuitangaze police tz Kama adui no 1 wa Nchi, Dunia ijue na WANANCHI wajue Basi , Kama mbwai mbwai, wakati huo Mawakili watu wasomi washauri ni namna gani tunaweza kuwaburuza top ten leaders, wa police kwenye mahakama za juu zaidi ,KWa jinsi wanavyokiuka haki za binadamu ,

Ushaidi upo ,kuanzia uchaguzi 2020 mpaka Sasa

Tz tulimshinda Amin dada, KWa umoja wetu hasa baada ya serikali ya Mwl Nyerere kuwaeleza WANANCHI ubaya wa Idd Amini, tukamuimba Amin mpaka mashuleni ,mpaka mashambani,

Kumshinda adui KWANZA mtangaze wazi , iwe MOJA ya agenda katika mapambano YAKO, CHADEMA TWENDE SASA , MPAKA SASA TUPATE KWANZA LIST YA MAADUI WA TAIFA WAPYA ,NA KILA MTU AWAJUE MPAKA KIZIWI

POLICE WAMEZIDI
 
Mie nazungumzia Mafuriko ya jana pale Kisutu 'Jiji zima lilisimama'

Kamanda wa Anga analala kwny sakafu ya baridi kwa zaid ya wiki wewe upo kwny Sofa unachezea simu tuu, kweli Bavicha siku hizi ni kama povu la gas ya Pepsi, Mkwala mwingi lakin inapoa fasta
pambalu hata kuonekana viwanja vya mahakama haji ni muoga huyo lakini kuchochea watu waende hajambo mwenzaokarudi tena lupangona zinaanza kurushwa wiki kwa wiki sasa kushtukia inakuwa mwezi kwa mwezi mwisho inakuwa kama wale wa uamsho na tuna msahau
 
Mie nazungumzia Mafuriko ya jana pale Kisutu 'Jiji zima lilisimama'

Kamanda wa Anga analala kwny sakafu ya baridi kwa zaid ya wiki wewe upo kwny Sofa unachezea simu tuu, kweli Bavicha siku hizi ni kama povu la gas ya Pepsi, Mkwala mwingi lakin inapoa fasta
The so called Gaidi yuko level ingine kabisa hawezi lala sakafuni
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Ingekuwa kukamatwa unaenda kunyongwa hapo watu wangeogopa,lakini wanakukamata unaenda kwa usafiri wao,unakula na kulala bure na mwisho unatoka na certificate ya ushujaa kuwa ulipigania mageuzi.

Kukamatwa siku hizi ni credits na political mileage.
 
Back
Top Bottom