Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,946
Reaction score
2,985
Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran,

Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu.

Marekani amekuwa akivutana sana na Iran kwenye issue ya Nuclear ambayo ni silaha hatari sana na tishio kubwa kwa adui, na kwa upande wa Israel ni issue ya ushawishi wa Kikanda, ambapo Iran alikuwa na missile capabilities kubwa.

Lakini kwa sasa wanajificha kwenye mgongo kwa kauli kwamba wanawasaidia wananchi wa Iran kupambania mabadiliko ya taifa lao

Angeshambulia nchi zote za middle east kama anaihusisha na Dini?
Wanaohusisha hii vita na dini ni Christian na sababu kubwa ni tu kwakuwa Iran asilimia kubwa ni Muslims,
Wanafaham kuwa Israel sio Christians lakini adui wa adui yako ni rafiki yako. 🙏
 
Hii ni vita ya military hegemony, Israel bado ana ndoto ya kuzidi kuchukua maeneo Kwa njia ya moja Kwa moja au isiyo ya moja Kwa moja, ili uweze Hili lazima lisiwepo taifa la kuchallenge kijeshi, Iran anaonekana kama ni taifa linaloweza kuchallenge military hegemony ya Israel, hivyo Israel anafanya Kila aliwezalo Hilo lifanikiwe, Israel Hana haja ya negotiations (hiki kitu watu hawakijui).

Kwenye Haya mashambulio ya US-Israel Kwa Iran, Kipindi watu wapo uelekeo mzuri wa mazungumzo Israel anawaambia Marekani kuwa sisi tunakwenda kuivamia Iran, basi akawa Hana jinsi ikabidi na yeye aunge tela maana alihofia kama Israel ataivamia Iran basi Iran lazima atalipiza Kwa kupiga US assets middle east maana kuna dalili zilionesha kuwa kutakuwa na joint strikes (Haya ni maneno ya Marco Rubio, US secretary) hii ni mara tatu au ya pili Israel anaivamia Iran kwenye Kipindi cha Negotiations, hii inasababisha kupotea Kwa uaminifu na inawezekana ikaleta ugumu kurudi tena mezani au kurudi mezani bila ceasefire.

US ambassador to Israel, Mr Huckabee alisema juzi kuwa itakuwa ni sawa kama Israel ikaendelea na mission yake ya " Greater Israel" maana Yake ni kwamba hizi si hadithi Bali ni mpango ulio wazi ambao Una support kubwa Sana, hivyo nchi za kiarabu zijiandae kupokea kipigo cha mbwa mwizi miaka ya baadae.
 
kwani hata ikiwa ni vita against political islam tatizo liko wapi? …
 
Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran,

Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu.

Marekani amekuwa akivutana sana na Iran kwenye issue ya Nuclear ambayo ni silaha hatari sana na tishio kubwa kwa adui, na kwa upande wa Israel ni issue ya ushawishi wa Kikanda, ambapo Iran alikuwa na missile capabilities kubwa.

Lakini kwa sasa wanajificha kwenye mgongo kwa kauli kwamba wanawasaidia wananchi wa Iran kupambania mabadiliko ya taifa lao

Wacha upotoshaji, USA ajawahi kuwa na shida ya Iran kuwa na Nuclear, kimbekembele ni Ocupied Zionist State ndio wanaogopa
 
Hii ni vita ya military hegemony, Israel bado ana ndoto ya kuzidi kuchukua maeneo Kwa njia ya moja Kwa moja au isiyo ya moja Kwa moja, ili uweze Hili lazima lisiwepo taifa la kuchallenge kijeshi, Iran anaonekana kama ni taifa linaloweza kuchallenge military hegemony ya Israel, hivyo Israel anafanya Kila aliwezalo Hilo lifanikiwe, Israel Hana haja ya negotiations (hiki kitu watu hawakijui).

Kwenye Haya mashambulio ya US-Israel Kwa Iran, Kipindi watu wapo uelekeo mzuri wa mazungumzo Israel anawaambia Marekani kuwa sisi tunakwenda kuivamia Iran, basi akawa Hana jinsi ikabidi na yeye aunge tela maana alihofia kama Israel ataivamia Iran basi Iran lazima atalipiza Kwa kupiga US assets middle east maana kuna dalili zilionesha kuwa kutakuwa na joint strikes (Haya ni maneno ya Marco Rubio, US secretary) hii ni mara tatu au ya pili Israel anaivamia Iran kwenye Kipindi cha Negotiations, hii inasababisha kupotea Kwa uaminifu na inawezekana ikaleta ugumu kurudi tena mezani au kurudi mezani bila ceasefire.

US ambassador to Israel, Mr Huckabee alisema juzi kuwa itakuwa ni sawa kama Israel ikaendelea na mission yake ya " Greater Israel" maana Yake ni kwamba hizi si hadithi Bali ni mpango ulio wazi ambao Una support kubwa Sana, hivyo nchi za kiarabu zijiandae kupokea kipigo cha mbwa mwizi miaka ya baadae.
Kifupi sio ndoto, imeandikwa kwenye vitabu vyote kuwa atachukua hayo maenei na atatawala dunia ,mareksni yenyewe itaporomoka. After time Mungu atawapiga pigo takati
 
Hii ni vita ya military hegemony, Israel bado ana ndoto ya kuzidi kuchukua maeneo Kwa njia ya moja Kwa moja au isiyo ya moja Kwa moja, ili uweze Hili lazima lisiwepo taifa la kuchallenge kijeshi, Iran anaonekana kama ni taifa linaloweza kuchallenge military hegemony ya Israel, hivyo Israel anafanya Kila aliwezalo Hilo lifanikiwe, Israel Hana haja ya negotiations (hiki kitu watu hawakijui).

Kwenye Haya mashambulio ya US-Israel Kwa Iran, Kipindi watu wapo uelekeo mzuri wa mazungumzo Israel anawaambia Marekani kuwa sisi tunakwenda kuivamia Iran, basi akawa Hana jinsi ikabidi na yeye aunge tela maana alihofia kama Israel ataivamia Iran basi Iran lazima atalipiza Kwa kupiga US assets middle east maana kuna dalili zilionesha kuwa kutakuwa na joint strikes (Haya ni maneno ya Marco Rubio, US secretary) hii ni mara tatu au ya pili Israel anaivamia Iran kwenye Kipindi cha Negotiations, hii inasababisha kupotea Kwa uaminifu na inawezekana ikaleta ugumu kurudi tena mezani au kurudi mezani bila ceasefire.

US ambassador to Israel, Mr Huckabee alisema juzi kuwa itakuwa ni sawa kama Israel ikaendelea na mission yake ya " Greater Israel" maana Yake ni kwamba hizi si hadithi Bali ni mpango ulio wazi ambao Una support kubwa Sana, hivyo nchi za kiarabu zijiandae kupokea kipigo cha mbwa mwizi miaka ya baadae.
Siku zote watu wanataka waingie katika "negotiations" wakiwa na "upper hand".

Ndiyo maana CCM wanaongea habari za maridhiano, sijui 4R's, huku wakigeuka tu wanawatandika CHADEMA kwa kila njia wanayoona inawezekana.

Nia ni kumfanya mpinzani wako aje mezani kinyonge na akubaliane na kila takwa lako.
 
Tanzania kuna nyakati ukipay attention watu fulani wanavyoongea utajua mengi sana kuhusu nchi hiyo.

Huyu ni Askofu wa pili anaongea haya ila mbona hatuoni Masheikh wakisema lolote?
 
Back
Top Bottom