Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,880
12,320
Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo katika kipindi hiki ambacho mh Mbowe analala mchongoma na masela mbali mbali kule keko.

Ni kweli tumezoea kuyaona baadhi ya mambo ambayo CCM na serikali yake huyafanya kwa lengo la kuwapoteza maboya wapinzani wao, mfano halisi ni mwaka 2015 ambapo CCM ya mzee Kikwete walikuja na style ya "mchawi mpe mtoto akulelee".

Na kweli style hii ilizaa matunda baada ya wapinzani kuingia mkenge kwa kumpokea mtoto huyo ili wamlee na matokeo yake ilikuwa ni ushindi mtamu kwa CCM, huku wapinzani wakishikana uchawi wenyewe kwa wenyewe.

Sasa baada ya CCM kufanya yale iliyofanya mwaka 2015, safari hii tulijua hali ingekuwa tofauti. Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake.

Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya.

Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!
 
Wewe unapenda mipango yetu yote iwe wazi kwenu watesi wetu ,? Hamtafanikiwa, ni ajabu sema Mwenyekiti wa Chama ,na Chama chenye wafuasi ml 15 useme amesaulika, sijui unatumia vigezo gani?

Ni juzi wawakilishi wa nchi zinazowapa misaada, wametinga kisutu, mkaja na ngojela eti magari ya magereza mabovu , leo mnakuja na lingine

Nyie wabambe njaa mmealibu sura ya nchi, na sarikali ya awam ya 6 , alafu huyo mama anawachekea ,itoshe KUSEMA mmetimiza malengo YENU kumkwamisha huyo mama, mpaka mda huu mmefanya kuona kuongoza taifa Kama ni mzigo kumbe sivyo
 
Hahahaaa,muulize IGP kwanini aliitisha Press!Muulize huyo mama yenu kwanini alienda BBC kueleza aliyoeleza!
Kama si urais wa kuokota,Samia haingii kwa Mbowe hata theluthi moja.
 
Tunazungumzia kuhusu Mbowe wewe unaanza oh ccm sijui nini, upuuzi mtupu.
Mleta mada kamalizia hivi:
"Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake. Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya. Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!"
 
Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo katika kipindi hiki ambacho mh Mbowe analala mchongoma na masela mbali mbali kule keko. Ni kweli tumezoea kuyaona baadhi ya mambo ambayo CCM na serikali yake huyafanya kwa lengo la kuwapoteza maboya wapinzani wao, mfano halisi ni mwaka 2015 ambapo CCM ya mzee Kikwete walikuja na style ya "mchawi mpe mtoto akulelee". Na kweli style hii ilizaa matunda baada ya wapinzani kuingia mkenge kwa kumpokea mtoto huyo ili wamlee na matokeo yake ilikuwa ni ushindi mtamu kwa CCM, huku wapinzani wakishikana uchawi wenyewe kwa wenyewe. Sasa baada ya CCM kufanya yale iliyofanya mwaka 2015, safari hii tulijua hali ingekuwa tofauti. Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake. Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya. Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!
Wanakushukuru kwa kumkumbuka! Sasa ndiyo ujue dikteta Samia halali!
 
Hakuna dili la ruzuku tena! Utampigania mtu ambaye hana pesa za kukulipa ktk mikutano na safari?
 
Back
Top Bottom