#COVID19 Wizara ya Afya: Wananchi wasiache kutumia tiba za asili zinazotambulika kukabiliana na Corona!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi.

=========

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbaga ametoa wito kwa Watanzania kutoacha njia za asili za kupambana na #COVID19

Amewataka Wananchi waendelee kutumia Nyungu na Dawa za Asili zilizosajiliwa katika kupambana na janga lililopo

Amehimiza Wananchi kuendelea kuhifadhi Miti Dawa katika maeneo yao kwani ndio chachu ya Tiba Asili

Source: ITV habari
 
Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi.

Source: ITV habari
Baada ya madhara ya chanjo kuanza kuonekana siyo? Chanjo itawaumbua si hamtaki kutangaza walioathirika? Vifo vya vigogo vitawaumbua.
 
Back
Top Bottom