Uvccm michezo ni Afya

Alphanga

New Member
Aug 19, 2021
2
0
RATIBA YA UVCCM GREEN CUP

Ndugu zangu salaam kwenu viongozi wenzangu.


Naomba kuwapa Ratiba ya mashindano yetu ya UVCCM GREEN CUP ambayo yatafanyika kwa MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU(Kwa Vijana wa Kiume) na NETBALL(kwa vijana wa kike)

Mechi ya UFUNGUZI ITAKUWA ZANZIBAR (MKOA WA MAGHARIBI) na MKOA WA SHINYANGA


MICHEZO NI AJIRA
KAZIIENDELEE
Screenshot_20210820-203532_Write%20on%20PDF.jpg
Screenshot_20210820-203520_Write%20on%20PDF.jpg
 
Back
Top Bottom