Steve Nyerere ndiye Musiba mpya?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,530
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake.

Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi.

Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?

Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni...anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi....
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?View attachment 1892088
Hahahaaaa,mwenzio alichukua hiki cheo,
LIEUTENANT GENERALLY LEIGWENANI LENGAI OLE SABAYA.
yeye ametwaa kipi tusije tukakose kumtaja ikawa shida
hahahahahhah
 
pale ndani kuna kitengo kinachohusika na propaganda and spinning...hizi ndizo kaz zao..kuanzia kwa huko nyuma kwa 'mlevi wa taifa 'nk..
lkn bi mkubwa amekumbushwa juz kujikita kwenye mambo 35 aliyoelekezwa kuyafanyia kazi toka chumba namba 26..next week kuna mambo flan yatatokea..
lkn bi mkubwa amekumbushwa juz kujikita kwenye mambo 35 aliyoelekezwa kuyafanyia kazi toka chumba namba 26..next week kuna mambo flan yatatokea..
 
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni...anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi....
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?View attachment 1892088
haitokei kwa bahati mbaya..hata juzi,gazeti la uhuru halikukosea wala haiikuwa bahati mbaya...na kwa kuwa bi mkubwa hajui 'beacon za nchi zilipo'..kuna mitambo flan inatestiwa...
 
Naona kijana anaanza kupiga jalamba la uchawa wa mamlaka ya juu katika awamu hii... Ni juzi tu hapa kapewa ubalozi wa corona! Zingatia 'ubalozi wa corona' sasa naona kawehuka na kuanza kuwatisha wanaccm wenzake
Msikilize kwenye hizi video fupi mbili zinazoendelea kuenea kwa kasi mitandaoni...anawatisha, anawaonya anawapiga vijembe..anajivika mamlaka yasiyojulikana kayapata wapi....
Musiba mwingine huyu anajiinua taratibu.. Je ataweza?View attachment 1892088
Tatizo ni njaaaaa
 
Back
Top Bottom