johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,745
- 139,512
Baada ya kusikiliza hii press ya mawaziri watatu yaani Dkt. Mwigulu Dr. Ndugulile na Ummy Mwalimu nashawishika kusema ni vema wizara ya mipango ikajitegemea.
Sijaona uratibu unaoshawishi kisomi kwenye hii press na kama tungekuwa na Waziri wa Mipango anayejitegemea tusingefika huku kote.
Wizara ya Fedha haihitaji siasa ndio maana marehemu wawili Stephen Kibona na Dr Mgimwa walifanya vizuri.
Mungu ni mwema wakati wote.