Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,764
- 92,201
Kibiriti kiko mkononi, kuni zimeshakusanywa, wanasubiri mafuta wayamwage wawashe moto! Wanataka waote moto waondoe baridi lakini watachoma kibanda kwa kuogopa baridi. Wakimaliza hapo watahamia nyumba kubwa, nawahakikishia watahamia nyumba kubwa. Wakihamia nyumba kubwa watawasha moto huko nako ili waendelee kuota moto na kuchoma mahindi kwa muda mrefu zaidi.
Tazameni nimekwisha waonya, maandishi hayafi ila mtu hufa!!! Msikubali, mkikubali leo basi mtakua mmethibitisha mwanzo wa mwisho wa safari yenu na yetu. Yangu yameisha!!
Tazameni nimekwisha waonya, maandishi hayafi ila mtu hufa!!! Msikubali, mkikubali leo basi mtakua mmethibitisha mwanzo wa mwisho wa safari yenu na yetu. Yangu yameisha!!