Kipanya awaibukua viongozi watoa haki hapa nchini

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Msanii maarufu wa katuni ameendelea na juhudi zake za kuwapambania wanyonge wa nchi hii.

Hapa chini ni kibonzo ambacho kinatoa picha halisi kinacho endelea nchini mwetu.
Screenshot_20210823-074548.jpg
 
Msanii maarufu wa katuni ameendelea na juhudi zake za kuwapambania wanyonge wa nchi hii.

Hapa chini ni kibonzo ambacho kinatoa picha halisi kinacho endelea nchini mwetu.View attachment 1904289

Ni aibu sana kuwa kiongozi wa namna hii. Mwendelezo wa maovu ya awamu ya ile, hatupaswi kumwachia Mungu peke yake kututatulia.

Hatima yetu na haki zetu i mikononi mwetu.
 
Ni aibu sana kuwa kiongozi wa namna hii. Mwendelezo wa maovu ya awamu ya tano hatupaswi kumwachia Mungu peke yake kututatulia.

Hatima yetu na haki zetu i mikononi mwetu.
Upo sahihi sana kiongozi
 
Tunammisi Magufuli - kiongozi wa kweli aliyewapigania wanyonge kwa dhati.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom