Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kuendeshwa kwa njia ya Mtandao ni uoga wa Mamlaka dhidi ya nguvu ya umma na Jumuiya ya Kimataifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,609
218,032
Ukweli ni kwamba Mbowe hakufikishwa Mahakamani ili kukwepa nguvu ya umma na jumuiya za kimataifa , hasa baada ya kuonekana dhahiri kwamba Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo .

Natoa wito kwa JF kuwa waangalifu wanapofuta nyuzi ama kuziunganisha , tuaminiane japo kidogo

Wafuasi_wa_Chadema_wakiwa_wamekusanyika_nje_ya_Mahakama_ya_Kisutu_ambapo_kesi_ya_Freeman_Mbowe...jpg
Kwa_uoga_na_uongo_wao,_pamoja_na_vitisho_vyao_kuongea_IGP,_makamanda_wa_polisi_na_kuvamia_kuka...jpg
 
Jana niliweka uzi humu kuhusu taarifa nilizopata kutoka ndani mwao kabisa kwamba Mbowe hatofikishwa Mahakamani kwa visingizio mbalimbali , Mtukufu Moderator akaiunganisha kusikofahamika , sasa leo Mbowe hajafikishwa kisutu kwa kisingizio duni cha Corona huku kesi zingine zikiendelea bila kujali corona .

Ukweli ni kwamba Mbowe hakufikishwa Mahakamani ili kukwepa nguvu ya umma na jumuiya za kimataifa , hasa baada ya kuonekana dhahiri kwamba Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo .

Natoa wito kwa JF kuwa waangalifu wanapofuta nyuzi ama kuziunganisha , tuaminiane japo kidogo

View attachment 1880613View attachment 1880614
Baadhi ya CCM walikuwa wanandharau Mbowe, ila ukweli Mbowe ni mkubwa Sana! Afu serikali ya JPM na Samia ndo imemkuza zaidi
 
Naona chadema kimeisha siku hizi mbona wanachama kiduchu hivo? Yaani kama watu 10 au 20 tu hivi!! Hata Costa kutoka Arusha haijai kabisa. Na mmejitahidi kuzoom picha ili angalau ijae lakini wapi
 
sasa pointi yako ni nini? una chembechembe za wivu flani
 
Kwamba hiyo nguvu ingefanya nini angefika mahakamani? Wangekuja kumtoa?
Chakuwafanya hawana kwakua wao wanasilaha alafu wananchi (chadema) hawana ila wanaogopa kwakua hawana akili watawaua alafu wazidi kujichafua zaidi
 
Jana niliweka uzi humu kuhusu taarifa nilizopata kutoka ndani mwao kabisa kwamba Mbowe hatofikishwa Mahakamani kwa visingizio mbalimbali , Mtukufu Moderator akaiunganisha kusikofahamika , sasa leo Mbowe hajafikishwa kisutu kwa kisingizio duni cha Corona huku kesi zingine zikiendelea bila kujali corona .

Ukweli ni kwamba Mbowe hakufikishwa Mahakamani ili kukwepa nguvu ya umma na jumuiya za kimataifa , hasa baada ya kuonekana dhahiri kwamba Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo .

Natoa wito kwa JF kuwa waangalifu wanapofuta nyuzi ama kuziunganisha , tuaminiane japo kidogo

View attachment 1880613View attachment 1880614
Kwani nani kakwambia mbowe hafikishwi mahakamani. Kama unafikiri kuna mtu anamuogopa au anasingiziwa unajifurahisha tu. Naamini atafikishwa kujibu mashitaka na kesi itaamua kama ana makosa au hana makosa.
 
Chadema wangetoka huku mitandaoni wakaungana kiukweli kutetea hicho wanachokiita haki ingewasaidia sana

Usaliti usalitini umejaa Chadema

Ila niipongeze serikali kwa kujali kauli mbiu ya mbowe ya kuchukua tahadhari dhidi ya corona kwa kuepusha misongamano
 
Back
Top Bottom