Wabunge wa CCM -Wana siri za Uchaguzi Mkuu uliopita wa 2020

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Wabunge wote wanaogopewa na serikali ya Rais Samia na ndio mkaona kila mmoja ana uthubutu wa kuropoka na kusema analolitaka, kubwa ni kuwa wabunge hawa hawakupigiwa kura na wananchi, ila walifanyiwa utaratibu na wote wakashinda na wao wanajua yale maagizo yote waliyokabidhiwa na mbinu zilizotumika au hata kama waliambiwa watulie.

Na kwa hivyo wamekamata siri zilizowafanya leo waitwe wabunge wa CCM,leo Gwajima akifukuzwa ubunge atazuka kanisani aseme hawezi kuishi kwenye dhambi alifanya yote ili afukuzwe au aondolewe kwani uchaguzi hakushinda hivyo hawezi kuishi ndani ya combo kilichojaa uchafu na damu za watu ,na karibia wabunge wote wana jeuri wakifukuzwa ubunge wanamwaga mboga na ugali.
 
Wabunge wote wanaogopewa na serikali ya Raisi Samia na ndio mkaona kila mmoja ana uthubutu wa kuropoka na kusema analolitaka, kubwa ni kuwa wabunge hawa hawakupigiwa kura na wananchi ,ila walifanyiwa utaratibu na wote wakashinda na wao wanajua yale maagizo yote waliyokabidhiwa na mbinu zilizotumika au hata kama waliambiwa watulie.
Na kwa hivyo wamekamata siri zilizowafanya leo waitwe wabunge wa CCM,leo Gwajima akifukuzwa ubunge atazuka kanisani aseme hawezi kuishi kwenye dhambi alifanya yote ili afukuzwe au aondolewe kwani uchaguzi hakushinda hivyo hawezi kuishi ndani ya combo kilichojaa uchafu na damu za watu ,na karibia wabunge wote wana jeuri wakifukuzwa ubunge wanamwaga mboga na ugali.
Haya yatakuwà ni matunda ya uovu uliotendeka wakati huo.
 
Wabunge wote wanaogopewa na serikali ya Rais Samia na ndio mkaona kila mmoja ana uthubutu wa kuropoka na kusema analolitaka, kubwa ni kuwa wabunge hawa hawakupigiwa kura na wananchi, ila walifanyiwa utaratibu na wote wakashinda na wao wanajua yale maagizo yote waliyokabidhiwa na mbinu zilizotumika au hata kama waliambiwa watulie.

Na kwa hivyo wamekamata siri zilizowafanya leo waitwe wabunge wa CCM,leo Gwajima akifukuzwa ubunge atazuka kanisani aseme hawezi kuishi kwenye dhambi alifanya yote ili afukuzwe au aondolewe kwani uchaguzi hakushinda hivyo hawezi kuishi ndani ya combo kilichojaa uchafu na damu za watu ,na karibia wabunge wote wana jeuri wakifukuzwa ubunge wanamwaga mboga na ugali.
Mimi mwenyewe nipo Bungeni basi tu, sikushinda kihalali najua hilo.
 
binafsi wabunge na mawaziri nawachukulia poa sana. kuna siku nilimjibu silinde kama HP wa shule.

naona hana uhalali Wa kuwa waziri.

alinitazama sana, nami nikamkaza vivo hivo. DSO alichezwa machale akanipa ishara ya kuinama nikatii.

bora nimheahimu mkurugenzi aliyewaibia kura sio walioibiiiiiwa kura
 
Yani hako ka Gwajima ingekuwa enzi za mwendazake, zile risasi zilizoshindwa kumuua Lissu zingetumika kumuwahisha kwa ziraili...

Sema tu mama anamwogopa Allah
 
Back
Top Bottom