Ni aibu kwa CCM kujipeleka Zambia bila kualikwa

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe.

Ni aibu kwa chama kikubwa kama CCM kuingilia hafla zisizowahusu, hamkualikwa period, chama kilichoalikwa ni ACT Wazalendo.

Na kwanini CCM hawakualikwa? Labda tuanzie hapo.

6EFC8814-C775-4C36-A12B-F375B7DC7181.jpeg

** DEVELOPING STORIES**

Kwanini HHichilema kaamua kuwaalika viongozi wengi wa upinzani na kuwaacha viongozi wa vyama vilivyo madarakani.

Here are some of the comments from all over the SADC region.

“A decision taken by Zambia's President elect @HHichilema to invite some leaders of opposition parties in the SADC region for me a big story of the week”.

“A good lesson. Some countries see opposition as enemies that must be killed. They believe people and the country belong to them. Africa needs leaders who value life.”

“The Zambian President elect has set a new standard and this sets the tone for revolutionising the opposition in SADC and Africa.”

“He was in opposition and is sticking by his friends. That’s is important for SADC democracy. I hope Zambia and Malawi shakes up SADC as they have shrugged off dictators lately!”

“One of its own kind! Indeed @HHichilema has ushered a new dawn in the politics of Africa. Gone are the days when these "big brothers" invite each other leaving those who oppose them. This unites people, well-done Zambia.”

“That's a step in the right direction. The SADC boys club's time is up. Whoever views opposition parties as enemies must wake up and smell the coffee.”
 
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, lkn kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wa CCM kuliko waalikwa wa serikali wenyewe.

CCM hawakualikwa kwenye hafla hiyo wamejialika ni aibu kwa chama kikubwa kama CCM, hamkualikwa period, chama kilichoalikwa ni ACT Wazalendo.

View attachment 1905444
Wanatia aibu sana chama chakavu!
 
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wa CCM kuliko waalikwa wa serikali wenyewe.

CCM hawakualikwa kwenye hafla hiyo wamejialika ni aibu kwa chama kikubwa kama CCM, hamkualikwa period, chama kilichoalikwa ni ACT Wazalendo.

Na kwanini CCM hawakualikwa? Labda tuanzie hapo.

View attachment 1905444

** DEVELOPING STORIES**

Kwanini HHichilema kaamua kuwaalika viongozi wengi wa upinzani na kuwaacha viongozi wa vyama vilivyo madarakani.

Here are some of the comments from all over the SADC region.

“A decision taken by Zambia's President elect @HHichilema to invite some leaders of opposition parties in the SADC region for me a big story of the week”.

“A good lesson. Some countries see opposition as enemies that must be killed. They believe people and the country belong to them. Africa needs leaders who value life.”

“The Zambian President elect has set a new standard and this sets the tone for revolutionising the opposition in SADC and Africa.”

“He was in opposition and is sticking by his friends. That’s is important for SADC democracy. I hope Zambia and Malawi shakes up SADC as they have shrugged off dictators lately!”

“One of its own kind! Indeed @HHichilema has ushered a new dawn in the politics of Africa. Gone are the days when these "big brothers" invite each other leaving those who oppose them. This unites people, well-done Zambia.”

“That's a step in the right direction. The SADC boys club's time is up. Whoever views opposition parties as enemies must wake up and smell the coffee.”
Wamevamia sherehe! Watajitambulisha kama chama kikuu cha Upinzani Tanzania
 
Kama ni kweli CCM, hawakualikwa,inabidi wajitafakari,ni matumizi mabaya ya ada za wanachama na ruzuku ya serikali
 
Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe.

Ni aibu kwa chama kikubwa kama CCM kuingilia hafla zisizowahusu, hamkualikwa period, chama kilichoalikwa ni ACT Wazalendo.

Na kwanini CCM hawakualikwa? Labda tuanzie hapo.

View attachment 1905444

** DEVELOPING STORIES**

Kwanini HHichilema kaamua kuwaalika viongozi wengi wa upinzani na kuwaacha viongozi wa vyama vilivyo madarakani.

Here are some of the comments from all over the SADC region.

“A decision taken by Zambia's President elect @HHichilema to invite some leaders of opposition parties in the SADC region for me a big story of the week”.

“A good lesson. Some countries see opposition as enemies that must be killed. They believe people and the country belong to them. Africa needs leaders who value life.”

“The Zambian President elect has set a new standard and this sets the tone for revolutionising the opposition in SADC and Africa.”

“He was in opposition and is sticking by his friends. That’s is important for SADC democracy. I hope Zambia and Malawi shakes up SADC as they have shrugged off dictators lately!”

“One of its own kind! Indeed @HHichilema has ushered a new dawn in the politics of Africa. Gone are the days when these "big brothers" invite each other leaving those who oppose them. This unites people, well-done Zambia.”

“That's a step in the right direction. The SADC boys club's time is up. Whoever views opposition parties as enemies must wake up and smell the coffee.”

ni ngumu kuwaalika ccm kama unaakili timamu
 
Wanatia aibu 2 hao kwa kwenda huko pasina kualikwa Ila ndo kawaida yao hawanaga aibu
Usipoalikwa utapokelewa na Nani? Utalala wapi? Kwenye sherehe utakaa wapi? Acheni akili za nyumbu hakuna kiongozi wa nchi anaweza kwenda nchi nyingine bila mwaliko.
 
Back
Top Bottom