#COVID19 Askofu Gwajima na Humphrey Polepole walitoa matamko dhidi ya chanjo, kwanini ahojiwe Askofu Gwajima tu?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
 
Gwajima ahojiwi kwa kukataa chanjo bali matamshi ya kukataa. Kuna tuhuma nzito kwa Serikali katika matamshi yake. Alisema wanaoshadadia chanjo wamehongwa kukubali iingie! Yani Rais kahongwa, sasa akathibitishe kuhusu hili.

Pili alisema kwamba zoezi hili viongozi walikuwa wanadungwa 'maji' siyo chanjo kuhadaa umma. Hii ni very serious accusation ujue! Akathibitishe.

Tatu alisema lengo la chanjo ni kuua watu na kuwapa ulemavu, akaenda mbali zaidi kusema taasisi za ulinzi na usalama wasichanjwe maana tutakosa wapiganaji!

Nne alisema chanjo inatumika na wapinga Kristo kwa lengo la kufanya tracking ya kiasi gani Dunia inapokea matakwa yao. Yani ukichanjwa, umekuwa tracked! Akathibitishe.

Gwajima alipaswa kuifata tu option ya HIYARI ya Serikali kwamba chanja au acha ila kaa kimya usipotoshe wengine.

Miongoni mwa watumishi wa Mungu wenye ushawishi na wafuasi wengi ni Mwamposa, umewahi kumsikia anasema kuhusu hili? He knows nguvu ya imani, he knows exactly kwamba madhababu siyo sehemu ya kupiga vijembe, kusuta, kubishana na mamlaka.

Gwajima ni attention seeker, kwake kufatiliwa na watu kujaa kanisani ni a big deal.

Mark this tweet, akitoka katika kamati he won't be the same.
 
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole Alitia NENO linalofanana na NENO la Askofu Gwajima .Cha Kushangaza Kaitwa Askofu Gwajima au Polepole Tunamkuta Chini ya Bakuli tunywe Kunza Mchuzi

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Huyo mtu alieamua kwamba Gwajima ahojiwe alichukua uamuzi huo akiwa yuko "emotional".

Gwajima anaweza kui_outsmart kamati nzima.

Mtu yuko ndani ya Kanisa lake, anapiga kelele na Waumini wake wanazungumza masuala yao, wewe Mhimili wa Bunge unamuita kujieleza, kwa hiyo ukiwa Mbunge usizungumze kanisani kwenu?
 
Kwani hilo kanisa lake liko ndani au nje ya Tanzania?
Pili wakati anabwabwaja na kutoa tuhuma nzito dhidi Mwenyekiti wa CCM alikuwa tayari mbunge wa Kawe au bado?
 
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
Pole pole yule ashajulikana anatafuta kiki sasa wameamua kumpuuuza kama upuuzi wenyewe
 
Kwani askofu Gwajima anahojiwa kwa sababu ya kukataa kuchanjwa?
Sawa kabisa,
Inawezekana kwa sababu ya kubishana na mamlaka ya za juu,

Kama ni mahubili ya kwenye ghala lake akiwa na makondoo yake/misukule iliyopoteza fahamu Bunge haliina mamlaka ya kumuhoji isipokuwa polisi ndiyo wanaweza kumkamata na kumuhoji kwa kuleta tahaluki na kugeuza nyumba ya ibada kuwa jukwaa la siasa na matusi
 
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
Unajuwaje kama Polepole bado hajahojiwa?
 
Chanjo ni kama bange, mama Samia baada ya kudungwa jana kaanza kuwafananisha wanawake na wanaume, Gwaji girl kaanza kuleta story za kutestiwa kitandani, Spika kaanza kutaka wasiochanjwa wahojiwe.

Uzombi umeanza mapema kuliko tulivyo tarajia.
Wewe mwenyewe hapo ulipo tayari ni zombie na bado hujachanjwa
 
Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
Huyu padri gwajima amevuka mipaka anamchezea simba sharubu
 
Gwajima ahojiwi kwa kukataa chanjo bali matamshi ya kukataa. Kuna tuhuma nzito kwa Serikali katika matamshi yake. Alisema wanaoshadadia chanjo wamehongwa kukubali iingie! Yani Rais kahongwa, sasa akathibitishe kuhusu hili.

Pili alisema kwamba zoezi hili viongozi walikuwa wanadungwa 'maji' siyo chanjo kuhadaa umma. Hii ni very serious accusation ujue! Akathibitishe.

Tatu alisema lengo la chanjo ni kuua watu na kuwapa ulemavu, akaenda mbali zaidi kusema taasisi za ulinzi na usalama wasichanjwe maana tutakosa wapiganaji!

Nne alisema chanjo inatumika na wapinga Kristo kwa lengo la kufanya tracking ya kiasi gani Dunia inapokea matakwa yao. Yani ukichanjwa, umekuwa tracked! Akathibitishe.

Gwajima alipaswa kuifata tu option ya HIYARI ya Serikali kwamba chanja au acha ila kaa kimya usipotoshe wengine.

Miongoni mwa watumishi wa Mungu wenye ushawishi na wafuasi wengi ni Mwamposa, umewahi kumsikia anasema kuhusu hili? He knows nguvu ya imani, he knows exactly kwamba madhababu siyo sehemu ya kupiga vijembe, kusuta, kubishana na mamlaka.

Gwajima ni attention seeker, kwake kufatiliwa na watu kujaa kanisani ni a big deal.

Mark this tweet, akitoka katika kamati he won't be the same.
Kwani wao wanaweza thibitisha kuwa anayo yasema Gwajiboy hayana ukweli!? Kumbuka...lisemwalo lipo...kama halipo laja!
Istoshe yy mengine yanaonwa na macho ya rohoni...sasa vipofu mkitegemea kuona mbona utakuwa muujiza😜!
Subirini mpaka yawe dhahiri...acheni muda uongee...tukutane ng'ambo ya pili!
 
Kwani hilo kanisa lake liko ndani au nje ya Tanzania?
Pili wakati anabwabwaja na kutoa tuhuma nzito dhidi Mwenyekiti wa CCM alikuwa tayari mbunge wa Kawe au bado?
Kwahiyo Mkiti wa ccm ni mungu mtu asiyesemwa. Ujinga.
 
@Polepole Alivyo pigwa biti na dogo akaamua acha yapite ila Balozi wa Koromije yeye anasema mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom