Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,180
2,000
Ikulu ya Magogoni leo Mchana

Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga

FB_IMG_16299041441424953.jpg

FB_IMG_16299041407545209.jpg

FB_IMG_16299041372066994.jpg
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,315
2,000
Odiga ana maslahi gani na TANZANIA??

Unakutana na mpinzani wa nchi nyingine halafu wako umewapa makosa ya Ugaidi?
Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
 
Kwetuntwara

JF-Expert Member
Jun 13, 2020
227
250
Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Kuna wakati najiuliza kama watanzania tumelogwa na nani. Polisi wakitutesa pia twaona ni haki yetu kuteswa, laiti tungejitambua.....
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,055
2,000
Seriously hawa jamaa wa mamlaka ya teuzi waanze kuwaangalia diaspora kwenye nafasi serikalini.

Yaani nchi imepatwa na ‘major incident’ polisi watatu wamepoteza maisha, mlinzi mmoja na gaidi (or some crazy gunman) alieuliwa.

Jambo limetokea mchana kweupe, kiongozi wa nchi badala ya kulifariji jeshi la polisi na kutoa pole kwa wafiwa, habari muhimu kutoka Ikulu ni raisi kukutana na Kiongozi wa upinzani kutoka Kenya.

Hivi viazi wengine wanafikaje kuwa mpaka washauri wa raisi wa maswala ya siasa.

Muda wa ku comfort wafiwa na kutoa assurance this is an isolated incident wanatuambia wakati watu wanatupiana risasi mbele ya kadamnasi raisi alikuwa ana chat someone who is a nobody na hiyo ndio habari muhimu kwao.
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
6,873
2,000
Seriously hawa jamaa wa mamlaka ya teuzi waanze kuwaangalia diaspora kwenye nafasi serikalini.

Yaani nchi imepatwa na ‘major incident’ ey polisi watatu wamepoteza maisha, mlinzi mmoja na gaidi (or some crazy gunman) alieuliwa.

Kipindi kile Wanajeshi wetu wameuawa Congo,Magu alikua zake ikulu na akaalika Matrafiki wa barabarani wakanywa na chai na chakula safi kabisa.Kazi iendelee.
 
itwaaky

JF-Expert Member
May 21, 2021
202
225

Ameshatoa pole masaa ma 4 yaliyopita, uwe unafuatilia kabla hujalalamika
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,055
2,000
Kipindi kile Wanajeshi wetu wameuawa Congo,Magu alikua zake ikulu na akaalika Matrafiki wa barabarani wakanywa na chai na chakula safi kabisa.Kazi iendelee.
Yaani eneo ambalo limejaza foreign embassies.

Eneo ambalo ni residential area

Njia ambayo inaunganisha city na suburbs god knows si ajabu karibu magari 1 yanapita hiyo barabara.

Tukio ambalo limegueza what a quite area into a temporary war zone.

Tukio ambalo unaona yule jamaa angeamua kuifyatulia ile daladala ambalo ilikuwa mbele yake god knows wangekufa wangapi

Tukio ambalo limeua polisi watatu in the line of duty; tena polisi wanaopelekwa on the firing line bila ya bullet proof vests.

Tukio ambalo watanzania wa nje na ndani ya nchi, nchi majirani wanalijadili na international news.

Halafu habari ya Ikulu ni raisi alikuwa anaongea na Raila Odinga; hata huko kenya hiyo sio news kwao, ila tukio la Dar itakuwa habari huko kwao..

Raisi hana muda wa kuzifariji ata hizo familia za askari waliopeteza maisha; something is amiss with you if you think it’s OK.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom