Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,237
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la.

Ngoja tuendelee kutega sikio

Huyu_ndiye_%22Mtaliban%22_aliyefanya_tukio_la_leo._Dogo_kabisa_wa_mwaka_1991._Mkazi_wa_Dar,_ma...jpg
 
Wacha tuone ila naanza kujiuliza taarifa ya uchunguzi kama itakuwa ni ya kitaalamu au yataibuka mengine.

Zikiibuliwa elements za ugali, nashauri tuwashirikishe FBI maana sisi.
Kwa kupenda sifa kwetu ukute hata ushahidi wenyewe wote ushaharibiwa. Forensic wakija kuchunguza itakutwa midole ya kina Sirro kwenye nyumba yote.

Maana nina hakika baada kujua hiyo nyumba wamevamia wote na mikamera yao wakiwa na magwanda ya kikomandoo ili wauze sura.
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo .

Ngoja tuendelee kutega sikio

View attachment 1908119
Chadema chukua tahadhali wasije wakasema tumekuta barua, nyaraka etc etc toka kwa Mbowe/wale vijana maana hawa ni manyangau wakubwa. Kibatala take note of that, hii kitu inaweza ikawa imepikwa. Mara Sabaya alivamiwa na Mbowe, mara diary ya Kigogo, take care please
 
Back
Top Bottom