Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

Ntinje

Senior Member
Feb 2, 2019
118
100
1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA.

Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya kielektronia. Hii pia itawapunguzia mzigo watanzania wengi. Tafadahli lioneni hili na mlifanyie kazi.

2. Nawaomba sana baadhi ya watumishi wa taasisi hii wajitahidi kuwa na lugha nzuri kwa wateja na aidha bodi iendelee kutatua malalmiko juu ya ubambikaji wa madeni kwa wanufaika.

Ninaipenda Bodi kwani binafsi nimunufaikaji hivyo naomba nisitafsriwe vinginevyo kwani huu ndiyo ukweli wa khali halisi juu ya taasisi yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom