Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa...
Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa...
Nataka niliseme hili na ninaomba tuweke kumbukumbu hii kwa rejea ya kesho muda ukifika.
Chama changu tulitaka kuungana pamoja na watanzania kuhusu suala la Tozo za kwenye simu baadaye tukaungana...
Siku chache zilizopita nilimsikia mwigulu akiongea bungeni kuwa Jeshi la Polisi lina mpango wa kuajiri vijana zaidi ya elfu nne ili kuongeza nguvu katika kukabiliana na uhalifu.
Imefika hatua...
Dunia imepita kwenye Mapinduzi mbalimbali ya viwanda karibia levels 4.
Ila Unajua Afrika has never succeeded neither of those industrial revolution levels.
Na ukichunguza na kusoma tafiti...
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali...
Rais Magufuli amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro.
Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli amemteua Bwana Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro...
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardius Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Rais Magufuli amefanya uteuzi wa kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais wa...
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.
Kwa upande...
Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa...
Kuelekea katika uchanguzi wa serikali za mitaa hapa nchini wananchi wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuchagua viongozi bora na sio bora kiongozi ambao wataweza kusimamia fedha na miradi...
SERIKALI imewataka Wawekezaji nchini kuchangamkia fursa ya ujenzi wa Hoteli zenye nyota nne ama tano kutokana na kutokuwepo katika Jiji la Dodoma. Hatua hiyo imekuja kufuatia Serikali kuzitangaza...
Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM.
Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika.
Ripoti...
Ndugu yangu Ndugai alitangaza ratiba mpya ya Bunge (vikao kuanza saa 8 mchana) na jinsi wabunge watakavyokaa wakiwa Bungeni (kutumia kumbi 2), pia alitangaza kuwa wabunge wote wavae barakoa...
Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili.
Kwa...
Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.
Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama...
Amani iwe nawe Mama yangu!
Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour”...
Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo
Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo...