Albert Msando: Bashiru sio mla Rushwa

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,176
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
 
Alijuaje kuwa analala masaa mawili tu..Pathetic ..Eti huyu nae ni Msomi...Njaa na kujipendekeza ni tabia zinazomwondolea mtu heshima yake. Tuache tabia hizi mbaya, haya ni yaliyopita ..Tujifunze kuwa objective...Inakuwaje unatestify kuwa Mwanaume mwenzako analala masaa mawili tu..wakati hauishi nae...Daaah! Bongo Dar~es~salaam.
 
Anasaka uteuzi, kifo cha jiwe kilimuuma sana maana alikimbilia kusoma masters mbilimbili akisubiri uteuzi mkubwa zaidi. Kwa sasa mama hawezi kumuweka sehemu kwa trend yake anaangalia sana mtu asiye na scandal, Msando bado sana. Akomae na profession yake siasa ya CCM haiwezi maana yeye ni mtu wa madeal ya harakati. Pia ni group la wale waliohamia kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi, pia aliwazingua sana wenzake wakati alipopewa kamati ya ukaguzi wa mali za CCM. Ana kazi ya kujitafakari sana kuhusu future yake kisiasa, kwa sasa upinzani hawatamtaka maana aliwasaliti ingali wao ndio walimlea. Huku CCM nako hana chake
 
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Huyo Msando hana lolote zaidi ya kujikomba komba tu kusudi na yeye apate uteuzi
 
Alijuaje kuwa analala masaa mawili tu..Pathetic ..Eti huyu nae ni Msomi...Njaa na kujipendekeza ni tabia zinazomwondolea mtu heshima yake. Tuache tabia hizi mbaya , haya ni yaliyopita ..Tujifunze kuwa objective...Inakuwaje unatestify kuwa Mwanaume mwenzako analala masaa mawili tu..wakati hauishi nae...Daaah! Bongo Dar~es~salaam.
Hafai kabisa huyo Msando
 
Back
Top Bottom