Rais Magufuli amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro na Edward Balele Wilaya ya Monduli

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,666
22,674
Rais Magufuli amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro.

Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli amemteua Bwana Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro, akichukua nafasi ya Bi.Regina Chonjo ambaye amestaafu.
..
IMG_20200621_170114.jpg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom