Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM yawataka wananchi kuchagua viongozi waadilifu

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
775
1,000
Kuelekea katika uchanguzi wa serikali za mitaa hapa nchini wananchi wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuchagua viongozi bora na sio bora kiongozi ambao wataweza kusimamia fedha na miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi wilaya ya kahama (CCM), Thomas Myonga kwenye mkutano maalum wa chama hicho wa kuwapokea wanachama sita wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) uliofanyika katika kijiji cha Ufala kata ya Kilago.

Amesema katika uchanguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu ni vyema wananchi wakafanya maamuzi sahihi ya kuchangua viongozi wenye sifa, wasiokuwa watoa rushwa na walevi ambao sii waadilifu wanaotaka madaraka kwa maslahi yao binafsi.

Amefafanua kuwa wanachama hao sita wakiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa kijiji hicho Daniel Makoye wamefanya uamuzi sahihi ya kuhamia (CCM) kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya Tano chini ya Dk John Pombe Magufuli katika kuwaletea maendeleo wananchi.

Ameongeza kuwa (CCM) mpya haina makundi hivyo ni jukumu lao kushirikiana nao katika juhudi za kuhakikisha chama hicho kinapata ushindi katika uchaguzi huo na mbinu pekee ya kushinda ni pamoja na kuweka wagombea wanaokubalika katika jamii ambao hawana sifa mbaya kama vile walevi,wazembe na wasiopenda kufanya kazi.

Myonga amewakabidhi wanachama hao wapya kadi za CCM ambao ni Daniel Makoye mwenyekiti wa kijiji cha Ufala,Bundala Busuli,Paschal Gulamali,Masanja Peter,Luhende kaswaki na Hasan Athuman ambao wote walikuwa wanachama wa CHADEMA.
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,645
2,000

Wamekabidhiwa card baada ya kujua kanuni, katiba na madhumuni ya chama au wamepewa tu ili wawaonyeshe wapendwa wao majumbani? Watu tulikuwa tunasotea card za tanu leo hii za ccm zinagawiwa kama njungu.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,278
2,000
Kumbe kampeni zimesha anza?
Wamekabidhiwa card baada ya kujua kanuni, katiba na madhumuni ya chama au wamepewa tu ili wawaonyeshe wapendwa wao majumbani? Watu tulikuwa tunasotea card za tanu leo hii za ccm zinagawiwa kama njungu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom