Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Suluhu pekee ya amani ya moyo ki siasa kwa mheshimiwa Rais Samia, ni aamue aridhiane na Tundu Lisu kwa dhati kabisa na wakae meza moja wazungumze Lisu kuendelea kukaa Mahabusu, ni hasara zaidi...
10 Reactions
29 Replies
442 Views
Wanabodi, Makala yangu Nipashe ya Leo, 20/10/24 Hizi ni pongezi za dhati kwa Spika wetu, Dr, Tulia Akson Mwansasu, alivyowajibu kwa kuwakoromea maspika wa nchi 12 za mabeberu, wanajiita 12+...
1 Reactions
56 Replies
3K Views
Unajua Wana CHADEMA na wanaharakati mnashangaza sana, wakati Mbowe yupo jela mlipigania sana aachiwe huru na kwamba kesi yake ya Uhaini ni ya kubambikiwa. Alipotoka Jela haikupita muda mkasema...
20 Reactions
266 Replies
3K Views
Ziara ya SPIEF Russia Inaweza Kubadilisha Mustakabali wa Mbolea, Nishati, Madini, Teknolojia na Masoko ya Tanzania Katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa zaidi ya kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Maendeleo ya kweli hayawezi kujengwa kwa miradi mikubwa pekee huku wananchi wakikosa haki, sauti na ushiriki katika maamuzi ya taifa. Unaweza kujenga reli, bandari na majengo marefu, lakini bila...
3 Reactions
4 Replies
145 Views
Rais Samia ashukuru mchango wa Russia katika kupigania uhuru wa nchi za Africa. But kilichofanyika ni kubadirisha aina ya wakoloni. Mweupe replaced by Black ones! Tena Afadhali ya Mkoloni Mweupe...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, ametoa uchambuzi wake kuhusu jinsi viongozi waliopita walivyoshughulikia rasilimali za nchi. Heche akiwa Kilwa mkoani Lindi, Juni 3, 2026 alikiri...
9 Reactions
86 Replies
923 Views
Tujiulize Kwanini viongozi wakubwa wanatembelea Kenya kuliko Tanzania? Hasa siku hizi Jibu Ni moja tu : Samia Suluhu Hassan
0 Reactions
1 Replies
98 Views
  • Redirect
Tokea jana alielekea Dubai huku nyuma akiacha mjadala wenye tuhuma ndaniye Hoja, kwa nini huyo ndugu Mamlaka zilimruhusu asafiri kuelekea Dubai na siyo awasilishe hoja ya Yuda kwa Mamlaka za ki...
1 Reactions
– Replies
– Views
Taarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa...
6 Reactions
19 Replies
519 Views
Wanabodi, Naangalia TBC Live, Rais Jakaya Kikwete yuko hewani! Miongoni wa mazuri ya JK, ni having a good sense of humour, akiongea, huchoki kumsikiliza!. Alipokuwa akiongelea kilimo cha ndizi...
28 Reactions
475 Replies
56K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM, ndugu Maganya, amesema leo kuwa kauli iliyotolewa jana bungeni na mbunge Simai kuwa, "Serikalini kuna YUDA anazunguka makanisani na kutumia majina ya wastaafu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi...
6 Reactions
12 Replies
480 Views
Ziara ziwe na watu wachache kadiri inavyo wezekana
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Ziara hii inosemwa ni ya kihistoria imekosa uhamasishaji ule unotakiwa na hii ni kutokana na vyombo vya habari vya Tanzania kuwa vimezibwa midomo na kalamu zao zimo makabatini. Lakini vyombo vya...
3 Reactions
4 Replies
245 Views
Mtu msaliti kama Yuda aachiwe kutawala nchi hii? Hili jambo linashangaza sana. Kwa Sasa Nchimbi ndio mkuuu wa nchi maana rais yupo nje kwenye ziara.
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Nyerere alitoa UNABII huu Kwa usahihi kabisa namnukuu. Chama kisichosikiliza maoni ya wananchi kitalia machozi kisipate mtu wa kuyafuta. UNABII umetimia. Haya yanayoendelea ni matokeo ya ccm...
8 Reactions
22 Replies
900 Views
Dr.Zack June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa...
14 Reactions
15 Replies
510 Views
At one time alikuwa Mkuu wa Wilaya??? then nini kilitokea? Au bado yupo serikalimi? Namfananisha na Yeriko Nyerere anavyotapatapa kutafuta ahueni!
5 Reactions
18 Replies
389 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…